Nimeitwa nikaambiwa niandike barua ya kujisafisha, hili limekaaje?

Mwajiri ana haki ya kukuomba maelezo na wewe una wajibu wa kujibu
 
Yani kumbe siku hizi mambo ya kijeshi yanaletwa uraiani kuomba ushauri?hivi unatatajia raia atakushauri nini hapa?
Kama kweli wewe ni askari tena wa cheo hicho cha sir major basi serikali imekula hasara,right ningekua mkubwa wako wa kazi basi "CB" ya mwaka mzima ingekuhusu,maana inaonesha unatabia za kike sana!!
Jirekebishe wewe acha ujinga..!
Umenikera sana kuleta mambo ya kijeshi eti yajadiliwe na Mange Kimambi hapa mitandaoni!
 
Nahisi Haujapiga Kozi Yeyote Na Kama Umepiga Basi Haujaivaa Mambo Ya Jeshi Ni Siri
 
Kaka kumbe na wewe umeliona hili?,tunalishwa tango pori hapa
 
Kweli ww una siri mambo kijeshi unaleta kwny mtandao ili ikusaidie nn?inaelekea unafany mafunzo ww bado raia tu
 
Kwani Jeshi gani wazungumzia?
Isije ikawa jeshi LA panya Road?
 
huwezi kuambiwa andika barua km hujakiri kosa au kuomba kustafu ,pia kuna mahakama ya kijeshi chuoni.kuruta hajafikia kuwa na haki dhidi ya mkuu wake tena si enzi hizi za baba jesca,baba rizmoko ndio alikuwa ana mind vijana wakipewa dozi kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…