Skata mtataJr
Member
- Feb 10, 2017
- 22
- 26
[emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwajiri ana haki ya kukuomba maelezo na wewe una wajibu wa kujibuMimi ni mkufunzi Wa mafunzo ya kijeshi nimekuwa nikifanya recruitment ni muda sasa..
Pindi mafunzo yanapochanganya baadhi ya wanafunzi huwa wanaweza kuibua tuhuma ambzo hazina ukweli Na kuzifikisha kwenye uongozi Wa juu...
Lengo likiwa ni kupunguza kasi ya mafunzo .kwa siku nyingi sasa uongozi uliokuwepo chuoni hapa ulikuwa Na uzoefu Na mambo haya kwa hiyo hata ilpotkkea mambo Kama haya kumekuwa kukitumika busara kuyamaliza lakini kwa sasa uongozi umebadilika sasa Na kuna kozi inaendelea hapa sasa kuna siku wakati napokea matatizo ya wanafunzi hao mmoja Wa wanafunzi hao Wa kike(matola) alisimama Na kusema kuna sikika minong'ono kuwa yeye anamahusiano Na mim baada ya kuwa uliza wanafunz walikana kabisa kuwa hakuna kitu Kama hicho..
Sikukaa kimya niliamua kulipeleka kwa uongozi huo Wa Chuo kama ilivyo ada nikipokea matatizo ya wanafunz hupelekwa huko..nimekaa muda Kama siku mbili hiv nmeitwa naambiwa niandike barua ya kujisafisha Na tuhuma hizo?
Hii ipoje wakuu? Lipi ni jema kwangu Sir major kuandika kama tatizo la wanafuzi au kuandika Maelezo binafsi...? Nisaidieni.
Nahisi Haujapiga Kozi Yeyote Na Kama Umepiga Basi Haujaivaa Mambo Ya Jeshi Ni SiriMimi ni mkufunzi Wa mafunzo ya kijeshi nimekuwa nikifanya recruitment ni muda sasa..
Pindi mafunzo yanapochanganya baadhi ya wanafunzi huwa wanaweza kuibua tuhuma ambzo hazina ukweli Na kuzifikisha kwenye uongozi Wa juu...
Lengo likiwa ni kupunguza kasi ya mafunzo .kwa siku nyingi sasa uongozi uliokuwepo chuoni hapa ulikuwa Na uzoefu Na mambo haya kwa hiyo hata ilpotkkea mambo Kama haya kumekuwa kukitumika busara kuyamaliza lakini kwa sasa uongozi umebadilika sasa Na kuna kozi inaendelea hapa sasa kuna siku wakati napokea matatizo ya wanafunzi hao mmoja Wa wanafunzi hao Wa kike(matola) alisimama Na kusema kuna sikika minong'ono kuwa yeye anamahusiano Na mim baada ya kuwa uliza wanafunz walikana kabisa kuwa hakuna kitu Kama hicho..
Sikukaa kimya niliamua kulipeleka kwa uongozi huo Wa Chuo kama ilivyo ada nikipokea matatizo ya wanafunz hupelekwa huko..nimekaa muda Kama siku mbili hiv nmeitwa naambiwa niandike barua ya kujisafisha Na tuhuma hizo?
Hii ipoje wakuu? Lipi ni jema kwangu Sir major kuandika kama tatizo la wanafuzi au kuandika Maelezo binafsi...? Nisaidieni.
Kaka kumbe na wewe umeliona hili?,tunalishwa tango pori hapaYani kumbe siku hizi mambo ya kijeshi yanaletwa uraiani kuomba ushauri?hivi unatatajia raia atakushauri nini hapa?
Kama kweli wewe ni askari tena wa cheo hicho cha sir major basi serikali imekula hasara,right ningekua mkubwa wako wa kazi basi "CB" ya mwaka mzima ingekuhusu,maana inaonesha unatabia za kike sana!!
Jirekebishe wewe acha ujinga..!
Umenikera sana kuleta mambo ya kijeshi eti yajadiliwe na Mange Kimambi hapa mitandaoni!
Jeshi la WokovuKwani Jeshi gani wazungumzia?
Isije ikawa jeshi LA panya Road?
Mkuu huyu jamaa ni boya tu,hakuna askari wa namna hii Tanzania.Kaka kumbe na wewe umeliona hili?,tunalishwa tango pori hapa
Ahsante mkuuMkuu kama hawana ushahidi usiandike kwani kuandika ni kukubali unafanya kosa . Huwezijua wanakutega uandike wakuchukulie hatua kali zaidi. Never confess ur mistake
Ahsante Mkuu abunuwasiMwajiri ana haki ya kukuomba maelezo na wewe una wajibu wa kujibu
ZmamotMkuu uko jeshi gani
anhaa..kiroho safi andika tu hayo maelezo kuepusha mizozo mkuuZmamot