Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Hayo maandishi kwa kiarabu yanataka kufanana but mwandishi sidhani kama alimaanisha kiarabu hiki.
Ila kuna symbols hapo kushoto nahisi zinaweza kuwa na maana. Ukichangia wino uliotumika nahisi ni zafarani inayotumika katika talasimu. Hiyo inawezekana kuwa ni talasimu kwa ajili ya kinga zake au kufanya mambo yaende sawa.
Ww mface tu akuelezee usiogope coz hakuna power yoyote hapo...
 
Kwanini atumie hiyo lugha? kwanini isiwe kiingereza?
 
love letter hiyo, wewe andika chini na markerpen nyeusi "i love you too", sema hiyo maandishi hayajawahi kumuacha mtu salama mixer na rangi nyekundu
 
Mkuu umepatia kabisa..na umetoa ushaur mzuri sana..sasa kazi kwa mtoa mada na muukizaji kutekeleza tu..huyo dem ni mshirikina
 

Safi sana..ushaur nzur na atakoma kabisa
 
Nimefungua hicho kifungashio,nimekuta kuna baadhi ya vitu nisivyovijua,vina rangi nyeusi na vinatoa harufu ambayo nashindwa kuielezea but kama nyama ilivunda hivi,what is iiiit!!???
Hivyo vya kuvunda ni nyeti za binadamu marehemu bikra.. ndivyo alivyoambiwa kumbe kiuhalisia ni firigisi na maini ya kuku wa kisasa wa nyama, mganga feki kanunua toka kwa mpemba muuza chupsi pale jirani kwao. Wajinga ndio waliwao, hapo ni utapeli tu hakuna kiarabu wala ungese wa kombe.
 
Mkuu alikuwa ameenda amesharudi usikute kaenda kwa mganga tena kapeleka mavuzi na kucha zakooo
 
jamiiforum kuna mambo sana unaweza ukawa umenuna BT ukija huku ni fulu kutabasamu.lakin pole sana mtoa mada ndo mambo yetu siye watu weusi cha msingi ni kwamba umeshamjua huyo binti so is hi naye kwa akili.
 
Mkuu huo uchawi kweli unadhani waganga wakitabu huwa wanaandika kiarabu fasaha??? Kombe nitafouti nauchawi wakitabu.. Kombe ndo wanaandika kiarabu maana huwa wanaandika aya za kurani.. Lakini uchawi huwezi kusoma uko hivo.
 
mkuu huyo demu wako inawezekana amekwisha iba na chupi yako na kuipeleka kwa mganga, yaani hapo kama imani yako ni haba ndio basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…