MkuuHaya mambo yanatia hasira sana,hasa unapokutana na jambo kama hili kwa mtu unayemwamini na kumpenda,inakatisha tamaa kwa kweli!!
Ahsante kwa ushauri wako,japo kwa jinsi alivyokuwa mhudhuriaji mzuri wa ibada na muimbaji mahiri,sikufikiria kama anaweza kujihusisha na haya mambo,na kitendawili kikubwa kwa sasa ni je,ni njia gani sasa naweza kuitumia kum-judge binti kabla sijamfanya kuwa mchumba?Mkuu
Binti asiye na hofu ya Mungu wa kazi gani sasa.
Tafuta binti mcha Mungu.
Mwanamke anatakiwa awe nuru ya kuisogeza familia usoni kwa Mungu.
Sasa huyo atapeleka nyumba kuzimu.
Kuchapwa ndio nini??Ulogi huo ... Wa kiarabu tena .. Hutabanduka kwake nakwambia hata akichapwa unaona hivi ... !!! Sina hakika lakini ndio kilichonijia akilini
Haiwezekani,Mungu ninayemwamini ni Mkuu sana,hawezi niacha niangamie!!Jipange sn hapo uchomoki labda uombe msamaha tu
Unahitaji nguvu ya roho mtakatifu kumtambua. ( samahani sijajui imani yako ni ipi)Ahsante kwa ushauri wako,japo kwa jinsi alivyokuwa mhudhuriaji mzuri wa ibada na muimbaji mahiri,sikufikiria kama anaweza kujihusisha na haya mambo,na kitendawili kikubwa kwa sasa ni je,ni njia gani sasa naweza kuitumia kum-judge binti kabla sijamfanya kuwa mchumba?
Maana huyu pamoja na kufanya naye kazi ofisi moja!bado ni mtu wa kanisani sana!!!
Nimejaribu kukutext Pm imegoma,naomba nitext kama unaweza!Unahitaji nguvu ya roho mtakatifu kumtambua. ( samahani sijajui imani yako ni ipi)
Mimi naamini maji na mafuta siku zote havichangamani.
Mtu mwenye hofu ya Mungu haumgungui kwa idadi za ibada anazofanya tuu ila matendo je yanalandana?
Hata katika kupiga story na mtu unaweza ukamsoma mind yake ukajua yeye ni mtu wa namna gani.
Pia sali sana
Mbona mshtuko sana!!!Doooh
SawahNimejaribu kukutext Pm imegoma,naomba nitext kama unaweza!
Hicho kilichofungwa ndio roho yako hiyo!! Baba umekwishaaa.