CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 528
- 800
- Thread starter
-
- #301
Very disappointing kwa kweli,maana matumaini na matarajio yote yameingia tope,starting a fresh is something very complex!!!Duh wanawake tumefika pabaya hawa Wanaume Ndo maana wanatembea njiani wanaongea wenyewe
Ni mrangi wa kondoa!!KWANI HUYO BINTI NI WA MKOA GANI AU KABIRA GANI?
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Asa akiendelea kumpenda zaidi si atakuwa na hofu kuwa amerogwa nadhani apate suruhisho kamili kurogwa kubaya sana yani wasichana sijui wamekuwaje kidogo tu anataka akuroge watu wenyewe hatuna kitu na wanataka waturoge tena si ndio kupotezeana ramani kabisaBrother hata ukielewa maana yake haitakuwa na maana yoyote cha msingi Omba kwa Mungu akuponye na huo utesi na pia endelea kumpenda mpenzi wako sana maana Mungu anaweza yote na ktk kila jambo Yeye ni mshindi zaidi ya kushinda na zaidi ya huo uchawi na Uganga wa Kienyeji! Weka Imani yako kwa Mungu na Yeye atafanya,na sisi members let pray together with our loved one!
Wewe husiloge mimi najileta...DUNIA INA MAMBO .NIMECHOKA UPWEKE NGOJA NA MIE NIKALOGE NAOMBA NAMBA YA MPENZI WAKO MKUU
Hakuna lugha ya kiuganga hapo ni lugha ya kitapeli. Basi chukua hii ٦٦٦شسلب من ىىىى غب chukua hiyo kaingie Magogoni ukifika mzee atakupa Dar RC kuanzia mlangoni.Sio lugha ya kiarabu hyo kka. Ni lugha za kiuganga hxo
DUNIA INA MAMBO .NIMECHOKA UPWEKE NGOJA NA MIE NIKALOGE NAOMBA NAMBA YA MPENZI WAKO MKUU
Kama haujui kilichoulizwa ni vizuri ukikaa kimya kuliko kufanya ujinga ulioandika, na hapa unadhihirisha namna kichwa chako kilivyo box.JAMAA KAFUNGWA MPAKA MAPUUUMBU
Hao ni asiri yao,tena ukisema umuache inabidi upate maombi ya nguvu au duwa la nguvu kutka imani yako,kuna shemeji yng mmoja tumeshamzika huu ni mwaka wa 2 coz ni nwanamke wa kirangi,huyo mama alikua mtata sana na hakuwai kuzaa,na alihishi nae miaka zaidi ya 10,shem alipotaka kuoa mwanamke mwingine hili amzalie japo mtoto na iman yake inaruhusu kuwa na wake 2,hilo likawa kosa ghafra kafa.si utani ni ukweli kbs wanawake wa kirangi punguzeni ushilikina,yapo makabula wanawake wao ni washilikina sana japo si wote lakini km % ni 90 kwa 10% nayo ni~Ni mrangi wa kondoa!!
Duuh,mkuu umeniogopesha lakini kwa uweza wa Mungu aliye hai katu sitadhurika,siamini kama ana nguvu zaidi ya Jina la YESU kristo aliye hai!!!Hao ni asiri yao,tena ukisema umuache inabidi upate maombi ya nguvu au duwa la nguvu kutka imani yako,kuna shemeji yng mmoja tumeshamzika huu ni mwaka wa 2 coz ni nwanamke wa kirangi,huyo mama alikua mtata sana na hakuwai kuzaa,na alihishi nae miaka zaidi ya 10,shem alipotaka kuoa mwanamke mwingine hili amzalie japo mtoto na iman yake inaruhusu kuwa na wake 2,hilo likawa kosa ghafra kafa.si utani ni ukweli kbs wanawake wa kirangi punguzeni ushilikina,yapo makabula wanawake wao ni washilikina sana japo si wote lakini km % ni 90 kwa 10% nayo ni~
~warangi
~Wasambaa haswa muheza na handeni
~wamachinga
~wanyamwezi japo si sana
~Waruguru wa matombo.
Fanyeni utafiti kwa wanaume walio howa wanawake wa makabila hayo utawaona walivyo na upore uliopitiliza (uzoba) sina nia ya kuanzisha fujo huo ni ukwrli,utafiti unapingwa kwa utafiti.thanx
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Hilo ndilo la msingi je umeshamwuliza na km ndio jibu lake ni lipi?Duuh,mkuu umeniogopesha lakini kwa uweza wa Mungu aliye hai katu sitadhurika,siamini kama ana nguvu zaidi ya Jina la YESU kristo aliye hai!!!
Bado sijamuuliza kwani yupo mbali kwa sasa,na hata hajui ni nini kinaendelwa,na mimi hata sijamwambia,nasubiri arudi kwanza then nione namna atakavyo-react,akikuta kidubwasha chake hakipo!!Hilo ndilo la msingi je umeshamwuliza na km ndio jibu lake ni lipi?
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Akimpigia simu mtu wake itakuwaje.ok cha msingi mchane ukweli mwambie hau mind mambo ya kijinga kama hayo then enderea naeBado sijamuuliza kwani yupo mbali kwa sasa,na hata hajui ni nini kinaendelwa,na mimi hata sijamwambia,nasubiri arudi kwanza then nione namna atakavyo-react,akikuta kidubwasha chake hakipo!!
Yupo safari,tangu wiki iliyopita,na nilikituka hicho kidude yeye akiwa hayupo,nimeona kuongea naye kwa simu jambo zito kama hili sio sawa,nasubiri aje niongee naye physically nikiwa nasoma na facial expression yake!!!Akimpigia simu mtu wake itakuwaje.ok cha msingi mchane ukweli mwambie hau mind mambo ya kijinga kama hayo then enderea nae
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app