Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

sisemi uongo mkuu .kukuombea sitakuombea hata sikujui .wewe jiombee mwenyewe . fanya jinsi hata umfumanie
Hahahaaa,wewe omba tu,"Mungu wetu uliye mbinguni,naomba umsaidie yule mkaka wa Jamii forum,aliye katika wakati mgumu,kufuatia mpnzi wake kufanya.....
 
Dadeki unarogwa live bila chenga
Fanya maombi jitakase kwa damu ya Yesu, muombee pia uyo mwanamke, mchane live umemkuta so akuelezee WTF is that
Tangaza ndoa...mtu mvumilivu mnapendana unasubiri hadi urogwe ndo utangaze ndoa bana...ukute ndo kinachompeleja kwa sangoma mwanaume huna mwelekeo na ndoa af mda unaenda.... Unadhani tunaingia kweny mahusiano kupoteza muda???!ebo!
 
Sikweli nidawa tu ya mapenzi usiwe na mwingine zaidi yake .anataka kukufunga
 
Hiyo kitu nilipigwa miaka nane na limama limoja hivi,nikapoteza network ya maisha,nililipenda balaaa,mshahara wote nampelekea yeye,ilibidi mama yangu aingilie kati nae akaenda kwa sangoma ili nimchukie huyo mpenzi jimama,yan hiyo karatasi inalowekwa kwenye kikombe chenye maji then ananuia maneno jinsi anavyotaka iwe,then hayo maandishi yanayeyuka ,maji yanakuwa mekundu ,halafu hayo maji yanawekwa kwenye mboga,yaan hapo baba angu ukila lazima uisome namba,utafanya kila atalolitaka,mimi sitasahau yaliyonikuta.
 
Aisee umekwisha mkuu vipeleke kanisani
 
Hahahaaa!!! duuh hizo ndoa taratibu basi,hapo si ndo atasugua bench zaidi maana mimi na yeye ndo basi tena,inabidi aanze upya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…