Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,063
Hatari hiyo kutoka Pangani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru Mkuu,ni jambo linalotia hasira sana,na kwa kiasi kikubwa linaongeza hofu ya kuishi na mtu wa aina hii,kesho na kesho kutwa nikimuacha si ajabu ukamkuta kwa social networks analalama kuwa wanaume hatufai.
Nimeelewa ushauri wako,lakini ni wazi kuwa sehemu ya ushauri wako naichukua na kuifanyia kazi,lakini ushauri wa kuishi naye nadhani hautakuwa na nafasi tena,maana baada ya tafakuri ya kina,nimeamua KUTOKUISHI NAYE!!
Ehh mmezoea kupotezea mda watoto wa watu, saiv wamewashika pabaya ehhh...Hahahaaa!!! duuh hizo ndoa taratibu basi,hapo si ndo atasugua bench zaidi maana mimi na yeye ndo basi tena,inabidi aanze upya!!!
Heeh kupotezea muda namna gani,tuna karibia miaka miwili tu,na wala sijaonyesha dalili yoyote ya kumtosa,hapo si ndo ananifukuza kabisa!!Ehh mmezoea kupotezea mda watoto wa watu, saiv wamewashika pabaya ehhh...
Hakuna kitu hapo ni tisha toto hiyo. Huyu aliandika ni tapeli tu. Ichome moto. Wajinga ndio waliwaoWana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Oa broHeeh kupotezea muda namna gani,tuna karibia miaka miwili tu,na wala sijaonyesha dalili yoyote ya kumtosa,hapo si ndo ananifukuza kabisa!!
Yericko Nyerere,mtazamo na ushauri wako nitavichukua,lakini niwe muwazi tu kwamba,SITAUFANYIA KAZI HATA KIDOGO,na kama huu ndo uafrika wenyewe kama unavyodai,basi ni halali yetu kuendelea kuwa masikini tu.Dini za kigeni zimewaharibu sana binadamu wa leo hasa waafrika,
Huyo dada yupo safi sana rohoni, hajaathiriwa na imani zenu za kizungu na kiarabu.... Yeye anaamini uafrika na imani zake, alichofanya ni sawa na angeenda kanisani akaombewa na mchungaji ili usimuache, sasa yeye katumia imani nyingine, unaitwa utaalamu wa kiafrika...
Huna haja ya kuogopa na kumuacha au kumchukia, kaa nae chini, rudisha moyo wako na akili yako Afrika, simama kama mwanamume wa Afrika, mwambie akufundishe huo utalaamu utawasaidia huko mbeleni kujilinda na kushambulia maadui.
Ahsante sana kwa mchango na ushauri wako,lakini naomba kujibu swali lako kwanza.ChiefMamgu, kwani hiyo karatasi ina ushahidi gani kuwa yaliyoandikwa yanakuhusu wewe? Huenda hayakuhusu, mfano labda ni zindiko lake mwenyewe la biashara au kazi zake (ofisini kwake), au dhidi ya mbaya wake/adui yake mahali fulani. Japokua simsapoti katika hili for any reason that she may have. Cha msingi just be courageous to face her and demand her explanations! Kisha ndiposa utaweza ku draw conclusion. Pole mkuu, ndo dunia hii
Ahsante sana kwa mchango na ushauri wako,lakini naomba kujibu swali lako kwanza.
"Hiyo karatasi ina ushahidi gani kuwa yaliyoandikwa yananihusu mimi?"
Jibu;Ukisoma maelezo yangu,kuna sehemu nimeandika kuwa,niliikuta hiyo karatasi ikiwa imefungashwa na passport size yangu,ambayo sikutaka kuiweka hapa jukwaani kwa sababu maalum,(in short sikutaka niiweke sura yangu hapa!)
Bila shaka umenielewa Mkuu!!
Nimekata tamaa sana kwa hakika!!!Hatari sana mkuu, vipi bado utaendelea kuishi na mtu huyo?
Pole sana.