Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana mm sipendi kukagua pochi ya mwanamke...mzee umekuta mpk pu.mbu ya paka iliyokaushwa....subiri mshana aje kwny fani yake
hahaahaaa...kiti tena hamna hizo hapo ni herufi za kiarabu ila yamendikwa kwa zafarani LUGHA ya tiba hiyo!!!Sio kuwa ulishapewa maelekezo hayo na kiti?!
kakutana na fundi wa kidigital mtoto wa Muji wakala mpunga.Yawezekana hata kumla wamemla .Usicheze na Jeshi la shetaniInaonekana binti alikwenda kwa fundi labda kukutengeneza ila amekutana na findi tapeli kwa sie tunaejua lugha hii hapo hakuna neno la maana linaloweza kusomeka kwa ufupi naweza kusema fundi kajua huyo binti hajui hyo lugha so ndo maana kaamua kumdanganya
Hapo kaandika herufi tu za kiarabu ni sawa na wewe uandike z,x,c,v,t,y,w,a yaan ilimradi tu umuhadae mtu ila niamini mimi kuwa hakuna maana yeyote hapo na wala hakuna neno lolote la maana lililoandikwa hapo.
Hapa huwa ndo naamini maneno ya dada faiza foxy kuwa "wajinga ndo waliwao" hapo mwanamke wako kadanganywa
NOTE.
Huyo binti anaonekana ni mshirikina leo kapata fundi tapeli kesho aweza pata mkweli na akakutengeneza vizuri tu so kuwa makini sana.
Muombe Mola hakuna linalomshinda sisi waislam tunafundishwa kuwa uchawi upo ila usiuamini sana maana hutomuamini mola.
Muamini mola hakuna linalomshinda na tunafundishwa katika uislam kukaa mbali na shirki (ushirikina) na watu wake.
wewe tupe tafsiri sahihi mkuu,hata kwa macho ya nyama kiarabu hakiandikwi hivo.Naamini hakuna atakayeleta tafsiri ya kweli kabisa hata kama kilichoandikwa hapo ni fekero,.wengi wataishia kusema hamna kitu, katapeliwa n.k...
Hapo ndo nachanganyikiwa sasa,lugha za kijini tena!!??sio kiarabu hicho lugha za kijini hizo huwezi elewa hata kama unajua kiarabu
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.
Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.
Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).
Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!
View attachment 532069View attachment 532071View attachment 532072
Mkuu hakuna tafsiri yoyote hapo kwa kuwa hakuna maneno ya maana yaliyoandikwa hapoNaamini hakuna atakayeleta tafsiri ya kweli kabisa hata kama kilichoandikwa hapo ni fekero,.wengi wataishia kusema hamna kitu, katapeliwa n.k...
Ningekuwa nakijua na kama kilichoandikwa ni kiarab bas nongetoa...hata kama ni mapalanganyata au herufi/ namba ningetafsiri kama ilivyo...wewe tupe tafsiri sahihi mkuu,hata kwa macho ya nyama kiarabu hakiandikwi hivo.
hicho kiarabu alichoandika hata mie Mgalatia naandikaNingekuwa nakijua na kama kilichoandikwa ni kiarab bas nongetoa...hata kama ni mapalanganyata au herufi/ namba ningetafsiri kama ilivyo...
Naamin umeelewa nlichomaanisha...