Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

Maandisha yanamaanisha kuwa anakupenda tu wewe duniani hakuna mwingine na anakusihi usije kumuacha kamwe , kwani ukimuacha atakufa kabisa!
 
Nimekata tamaa sana kwa hakika!!!
Pole sana.
Mshukuru Mungu amekuonyesha mapema.
Piga magoti tubu kwa Mungu omba akupatie amani moyoni ya kuyapokea yaliyokukuta .
Kuhusu mchumba au mke amini Mungu anakuandalia alie mwema hivyo muondoe kabisa huyo ili uweke nafasi ya kumpata wako.
Tafadhali endelea kuomba upate uvumilivu nguvu na amani ili kwa namna yoyote Mungu atengeneze mazingira ya wewe kuwa mbali nae kwa usalama na amani.
Dada huyo bila shaka alipotoka tu na akasahau Mungu pekee ndio anaeweza mfanyia Mume mwema na sio ndumba.
Nakutakia heri na Mungu akujaalie hekima na busara wakati huu.
 
Nashukuru kwa Faraja na ushauri wako,Mungu akubariki sana!!!
 
Pole sana.
Mshukuru Mungu amekuonyesha mapema.
Piga magoti tubu kwa Mungu omba akupatie amani moyoni ya kuyapokea yaliyokukuta .
Kuhusu mchumba au mke amini Mungu anakuandalia alie mwema hivyo muondoe kabisa huyo ili uweke nafasi ya kumpata wako.
Tafadhali endelea kuomba upate uvumilivu nguvu na amani ili kwa namna yoyote Mungu atengeneze mazingira ya wewe kuwa mbali nae kwa usalama na amani.
Dada huyo bila shaka alipotoka tu na akasahau Mungu pekee ndio anaeweza mfanyia Mume mwema na sio ndumba.
Nakutakia heri na Mungu akujaalie hekima na busara wakati huu.
magroup ya whatsup yanadanganya watu sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23].......... siku hizi wadada kugegedwa kwao ni kawaida, hata mimi nakumbuka kipindi nilipokuwa naanza maisha kuna dada nilipendana nae nilikuwa naenda kumgegeda gheto kwake na nilikuwa nalala hapo kwake weekend nzima. Alikuwa anaishi na mdogo wake wa kiume, nikikumbuka ile hali(hali ya kwenda kumgegeda kwao huku anaishi na mdogo wake wa kiume) huwa najisikia guilty hadi leo![emoji22][emoji22][emoji22]
Wadada wa darslamu hao
 
Siku hizi insta topic kubwa ni malimbwata... Kuweni makin wakaka mtalishwa vcvyolika!
 
huyo dada hana nia mbaya anataka akuweke uwe wake peke yake usihangaike na wengine maadam umiona bas haitofanya kazi ....na ianwezekan isiwe ya kukudhuru ...anataka uwe wake tu yani.....usione wengine
 
Back
Top Bottom