Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
mwili haujengwi kwa msosi wa hivi tu ati!!!na chumbani wapika varieties namna hii weye?Mwanamke kupika ati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwili haujengwi kwa msosi wa hivi tu ati!!!na chumbani wapika varieties namna hii weye?Mwanamke kupika ati?
Hii Misosi haina Majina maana huo Mseto walia kijiko tu oiMwanamke kupika ati?![]()
[/CENTER]
Hapo pichani kuna mkono wa Mzungu na Mezani hiyo Mat inamaandishi ya Restaurant na maneno ya juu kitu kama Baobab vile wewe kujidai kote yaonesha hujui kupika hata Chai
Duduwasha...acha hizo, hiyo mimi huwa naipendaga sana. Nikimimina hiyo sitaki mlo tena maana inasaidia sana ukiwa mtu wa kupunguza uzito hina calories nyingi and very fulfiling.
nimemiss samaki wa ukwee wa sato mwanza,and i wish i was a good cook jamani...am hopeless nikiolewa sijui itakuwaje mume wangu atakula mavyakula ya tui kibao lol
[/CENTER]
Hapo pichani kuna mkono wa Mzungu na Mezani hiyo Mat inamaandishi ya Restaurant na maneno ya juu kitu kama Baobab vile wewe kujidai kote yaonesha hujui kupika hata Chai
[/CENTER]
Hapo pichani kuna mkono wa Mzungu na Mezani hiyo Mat inamaandishi ya Restaurant na maneno ya juu kitu kama Baobab vile wewe kujidai kote yaonesha hujui kupika hata Chai
Mmm, mimi niko nazingatia kula na kunywa kwa kipimo kama nilivyoweka hapa chini:
View attachment 87028
hapa hamna kitu kiepe na burger hizi zote ni mboga tu..
[/CENTER]
Hapo pichani kuna mkono wa Mzungu na Mezani hiyo Mat inamaandishi ya Restaurant na maneno ya juu kitu kama Baobab vile wewe kujidai kote yaonesha hujui kupika hata Chai
Hii picha tu peke yake kwanza, si mtu anakula ugali anamaliza, au?