Nimejaliwa, kwa kupima tu, sina mshindani

Nimejaliwa, kwa kupima tu, sina mshindani

nimemiss samaki wa ukwee wa sato mwanza,and i wish i was a good cook jamani...am hopeless nikiolewa sijui itakuwaje mume wangu atakula mavyakula ya tui kibao lol
naona ushapoteza sifa kuu ya mama wa kiafrika.
 
wacha niendeleze juhudi..kuna siku nitaweza kupika vyote ivo na zaidi
 
attachment.php
we Duduwasha!!angalia usikojolee chakula!
 
Last edited by a moderator:
kupima au kupika.....halafu kwako kuna restaurant?
 
Hata ningekuwa mimi nisingechomoa kwa kweli
 
[/CENTER]

Hapo pichani kuna mkono wa Mzungu na Mezani hiyo Mat inamaandishi ya Restaurant na maneno ya juu kitu kama Baobab vile wewe kujidai kote yaonesha hujui kupika hata Chai
Hizi tunaziita ngumi kavu kavu za usoni.
 
Back
Top Bottom