Nimejaribu Draw ya CAFCL

Nimejaribu Draw ya CAFCL

kuna tetesi kila timu inaombea kupangwa na Simba
Na mara nyingi ndo huwa ni advantage kwa huyo Simba nakumbuka kuna msimu mmoja iliwahi tokea hiyo hadi kina shafih dauda walidis sana (wakuda wale) wakinadi kila timu inamuombea kupangwa na simba na huyo Simba alitoboa quarter japo zilitembea goli za ugenini.

Mamipira nayo sometimes hayana formula basi tu.
 
Msimu ambao AS Vita alikufa 2 kwa 1 hapa kwa Mkapa.
Chama Baba...... Acha kabisa siku hiyo.
 
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW

1: GROUP A
MAMELODY
PYRAMIDS
TP MAZEMBE
FC NOUADHIBOU (MTN)

2: Group B
WYDAD
SIMBA
ASEC MIMOS
JWANENG GALAXY

3: Group C
E.S.T
ATLETCO PETROLIAS
AL HILAL
EPERENCE TUNIS

4: Group D
AL AHLY
CR BELOUUIZAD
YANGA
MEDEAMA FC

NB. Mshindi WA kwanza na WA pili ndio wanakwenda Robo fainali
 
Back
Top Bottom