little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Na mara nyingi ndo huwa ni advantage kwa huyo Simba nakumbuka kuna msimu mmoja iliwahi tokea hiyo hadi kina shafih dauda walidis sana (wakuda wale) wakinadi kila timu inamuombea kupangwa na simba na huyo Simba alitoboa quarter japo zilitembea goli za ugenini.kuna tetesi kila timu inaombea kupangwa na Simba
Mamipira nayo sometimes hayana formula basi tu.