little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Na mara nyingi ndo huwa ni advantage kwa huyo Simba nakumbuka kuna msimu mmoja iliwahi tokea hiyo hadi kina shafih dauda walidis sana (wakuda wale) wakinadi kila timu inamuombea kupangwa na simba na huyo Simba alitoboa quarter japo zilitembea goli za ugenini.kuna tetesi kila timu inaombea kupangwa na Simba
Mimi nimeota kuwa Simba na Yanga wamepangwa kundi Moja. Halafu zote zitaingia robo fainaliES Tunis
Simba
Al hilal
Jwangeng
Msimu ambao AS Vita alikufa 2 kwa 1 hapa kwa Mkapa.Na mara nyingi ndo huwa ni advantage kwa huyo Simba nakumbuka kuna msimu mmoja iliwahi tokea hiyo hadi kina shafih dauda walidis sana (wakuda wale) wakinadi kila timu inamuombea kupangwa na simba na huyo Simba alitoboa quarter japo zilitembea goli za ugenini.
Mamipira nayo sometimes hayana formula basi tu.
KWAKWELI TUMEYATAFUTA WENYEWE...[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Mfano inakuwa hivi leo. View attachment 2773363
Hata Ihefu? 😁kuna tetesi kila timu inaombea kupangwa na Simba