Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea