Nimejaribu ku-google "Is Tanzania Safe?" niliyoyakuta nimebubujikwa na machozi!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

Screenshot_20241210-002658.jpg

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

Screenshot_20241210-002850.jpg

Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?

Nimelia sana!

Cc: Kidagaa kimemwozea
 
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

View attachment 3173399

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

View attachment 3173400

CC Lucas Mwashambwa
 
Watalii washaanza kufuta safari za mwisho wa mwaka

Mbwembwe za watalii kuwa wanakuja kwa mamilioni sizisikii tena.

Based on what's going on sasa hivi, ile Royal Tour was a total waste of taxpayer money.
 
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

View attachment 3173399

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

View attachment 3173400

Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?

Nimelia sana!

Cc: Kidagaa kimemwozea
Wana rainbow mko active
 
Tulidhani tunawakomoa wapinzani kumbe tunaipaka kinyesi Tanganyika mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa
 
Reasons walizotaja ni nyingi sana ila umeona uchague kwa kuwa imekugusa.

Utekaji hujaona, ugaidi?

YuviCCM akili mnaachaga wapi?
Huwa mnafichaficha content zenu hivyohivyo

Btw, uvccm walinikataa mimi mzee lakini bavicha ya baba ndubwi walinipokea kWa upendo
 
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

View attachment 3173399

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

View attachment 3173400

Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?

Nimelia sana!

Cc: Kidagaa kimemwozea
Hata mimi hii nimekopi pahala
While generally considered safe for travel, Tanzania requires a high degree of caution due to potential risks like petty theft, armed robbery, and the threat of terrorism, especially in areas like Dar es Salaam; it's recommended to be alert to your surroundings and take necessary precautions when visiting.

Key points to remember about safety in Tanzania:
 
Back
Top Bottom