CC Lucas MwashambwaWakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
View attachment 3173399
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
View attachment 3173400
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea
🤣👍
Ndio,wakijaribu kumteka Bonge hotelini.Hapo mtaani kwenu umewahi kukutana na magaidi ?
Hawaijui Google search hao,kwanza ubongo hawana ndio waje wafuatilie mambo mazito hivyo?
Wana rainbow mko activeWakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
View attachment 3173399
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
View attachment 3173400
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea
Huwa mnafichaficha content zenu hivyohivyoReasons walizotaja ni nyingi sana ila umeona uchague kwa kuwa imekugusa.
Utekaji hujaona, ugaidi?
YuviCCM akili mnaachaga wapi?
Hata mimi hii nimekopi pahalaWakuu,