Kuhusu Mtwara ni kweli maana serikali inatuficha mengi sana ikituona sisi wananchi hatuna mchango wowote kwenye usalama wa nchi yetu.Wakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
View attachment 3173399
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
View attachment 3173400
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea
sasa si ungegoogle tangu November 11 ungewasaidia hata Marekani wenyewe gentleman? Mpaka watoto wadogo katika shule za awali na vyuoni huko marekani wakamiminiwa risasi na kuuawa? kimbelembele na unafiki mtaacha lini ndrugu zango wadau wa nafiki?https://www.aljazeera.com/news/2023/3/28/decades-of-deadly-gun-violence-in-us-schools🐒Wakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
View attachment 3173399
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
View attachment 3173400
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea
sasa ndrugo zangu wanafiki na vimbelembele wa Tanzania,
Shida ni CCM.Wakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
View attachment 3173399
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
View attachment 3173400
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea
Hawa wanaoteka na kuua watu, wengi tu habari zao zinaripotiwa huko cuba. Ila Tanzania hakuna utekaji wala mauaji. Wanaisingizia sana nchi yetuHapo mtaani kwenu umewahi kukutana na magaidi ?
Sawa ni kweli hali ya kisisa ni mbovu na usalama wa raia upo hatiani.Wakuu,
Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?
Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.
View attachment 3173399
Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.
View attachment 3173400
Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?
Nimelia sana!
Cc: Kidagaa kimemwozea
Hakuna kitu Watalii wanajali kama Uhai waoMbwembwe za watalii kuwa wanakuja kwa mamilioni sizisikii tena.
Based on what's going on sasa hivi, ile Royal Tour was a total waste of taxpayer money.