Nimejaribu ku-google "Is Tanzania Safe?" niliyoyakuta nimebubujikwa na machozi!

Nimejaribu ku-google "Is Tanzania Safe?" niliyoyakuta nimebubujikwa na machozi!

Mabeberu kwa propaganda hawajambo.

Huko kusini security apparatus zipo active . Niipongeze serikali kwakweli. Hakuna mtu anatua hapo bila wao kujua.
 
Think Tank ya nchi hii ni zero. Matabaka yanazidi kujitokeza zaidi ya walichonacho na wasionacho, hata diwani sasa hivi anatembea na escot ya kimulimuli mbele ya gari yake. huko njiani ni fujo na wameamua kutumia njia ya mwendokasi hapa Dar, askali ndio wamejimilikisha njia hiyo, hakuna wa kukemea. Kuna mtu anaweza sema kuna uongozi?
 
Hivi kwanini tujisikite kuleta watalii wa kiarabu wa dubei kuliko hawa mabeberu🤔
 
Nini uliwaza mpaka ukaamua kutafuta habari kama hizo, yaani ni kama uende hospital kupima ugonjwa ambao haujaona dalili zake. Hapo lazima watakukuta na ugonjwa mwingine ambao haukuuwazia kabisa.
 
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

View attachment 3173399

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

View attachment 3173400

Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?

Nimelia sana!

Cc: Kidagaa kimemwozea
Kuhusu Mtwara ni kweli maana serikali inatuficha mengi sana ikituona sisi wananchi hatuna mchango wowote kwenye usalama wa nchi yetu.

Mtwara kuna maeneo imewekwa HALI YA HATARI mwisho saa 1 au 2 usiku msitoke nje. Taifa haliambiwi wala Bunge halijahusishwa ni maamuzi ya mtu mmoja akisukumwa na wasaidizi wake wa Usalama.

Wanaowateka watu nyara Dar wengi ni magaidi, inaonekana hata ndani ya vyombo vya dola wapo lakini serikali inawalinda.

Hao wameandaliwa kuja kufanya matukio ya kigaidi endapo upinzani watashinda
 
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

View attachment 3173399

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

View attachment 3173400

Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?

Nimelia sana!

Cc: Kidagaa kimemwozea
sasa si ungegoogle tangu November 11 ungewasaidia hata Marekani wenyewe gentleman? Mpaka watoto wadogo katika shule za awali na vyuoni huko marekani wakamiminiwa risasi na kuuawa? kimbelembele na unafiki mtaacha lini ndrugu zango wadau wa nafiki?https://www.aljazeera.com/news/2023/3/28/decades-of-deadly-gun-violence-in-us-schools🐒
sasa ndrugo zangu wanafiki na vimbelembele wa Tanzania,

kwani mlizubaa wapi na mkachelewa kugoogle hadi Trump akapigwa Risasi ya sikio hadharani kwenye kampeni?

na kwamba wao wako salama right?🐒
 
Wakuu,

Kutokana na hali ya kisiasa na utendaji wa jeshi la Polisi, nimejaribu kwenda google ku-search is Tanzania Safe?

Majibu niliyokutana nayo yamenihuzunisha sana. Websites kubwa duniani ikiwemo ya CIA zinaonesha kabisa kuwa nchi yetu sio salama.

View attachment 3173399

Mambo kama ugaidi, wizi na uhalifu mwingine yametajwa.

View attachment 3173400

Hivi ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani kama bado hata Google Search tu inaonesha kuwa nchi yeetu sio salama?

Nimelia sana!

Cc: Kidagaa kimemwozea
Shida ni CCM.
 
Sawa ni kweli hali ya kisisa ni mbovu na usalama wa raia upo hatiani.
Kwa swali hilohilo jaribu kuuliza
Is Kenya safe.?
Is U. S. A safe..?
Is U. K safe.?
Uliza hivyo kwa mataifa hata kumi, base kwa yale yenye amani.

Majibu baki nayo wewe.
 
Mbwembwe za watalii kuwa wanakuja kwa mamilioni sizisikii tena.

Based on what's going on sasa hivi, ile Royal Tour was a total waste of taxpayer money.
Hakuna kitu Watalii wanajali kama Uhai wao
 
Back
Top Bottom