Nimejaribu kuanzisha biashara mbalimbali lakini huwa hazidumu. Naombeni ushauri

Asante sana mkuu.
 
Asante, nimekuelewa.
 
Kuna mmoja anasema ameponea kwa Mwamposa
 
kuna mdada mmoja huku mtaani alianzisha biashara ya chakula alifanya biashara siku moja tu siku iliyofuata akafunga biashara sababu anasema biashara ngumu sasa anaendelea na biashara yake ya muda mrefu ya kuuza nyama (code)
 
Oky pole sana.
Wapo wengi wanaopitia hali kama yako na usipokuwa makini itakuandama mpaka uzee.
Nitakushauri kutokana na uzoefu wangu halisi maana huko koote nimepitia tena naweza kusema ni yawezekana nimekuzidi.
Kwanza anza kwa kuzichunguza familia aliyotoka baba yako na mama yako kisha.
Niambie kisha tutaendelea.
Mungu hajawahi mtupa mja wake.
 
Ulifanya wapi biashara ya kufua tuna Idea sawa tuungane nini kama vipi mimi nafikiriga kama kutafuta sehemu naweka kamba nyingi za kuanika nichape vipeperushi nisambaze eneo zima hapo ni kukusanya nguo na kufua tu kwa bei chee
 
Pole kwa changamoto ndugu. Hiyo na story ya kila mtu mwenye mafanikio makubwa. Unafeli, unafeli, unafeli, unafeli ikisha mambo kidogo kidogo yanaanza kubadiliki hadi inafika siku unajishtukizia hee. Na mimi ni katika wenye mafanikio.

Njia ya uhakika ya kupata mafinikio ni kutafuta watu waliofanikiwa wakuongoze. Kama utapenda nikusaidie kufanya hivyo nijulishe. Nitakupatia program bure ya kupata wazo zuri la biashara bila ya kupoteza mtaji.
 
 
Mkuu umeongea point sanaa💪💪
 
Neno mbalimbali ndio limebeba taswira nzima ya kufeli kwako.

Kwa nini iwe mbalimbali na sio moja uikomaliee ?
 
ushauri wangu ukikutana na changamoto kwenye Biashara usikimbilie kuanza Biashara nyingine jitaidi utatue izo changamoto kwenye hiyo Biashara unayofanya mbili kuwa na Malengo ya mda mrefu na mda mfupi usifanye Biashara tu kwasababu unashida ya pesa ya haraka jaribu kukaa chini uchague wazo moja utakolo lifanya kwa mda mrefu
 
Consistency ni changamoto kwa watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…