Nimejaribu kuanzisha biashara mbalimbali lakini huwa hazidumu. Naombeni ushauri

Hawa nao sio wa kuwasikiliza sana πŸ˜†, walikuwa na foundation nzuri na connection. Bill Gate mama yake alikuwa anajuana na mwenyekiti wa IBM, na yeye mwenyewe Bill alikwara project ya watu japo ana uwezo mkubwa na maarifa makubwa.

Elon Musk nae baba yake alikuwa vizuri kifedha.

Dada yetu anatakiwa ashauriwe na asaidiwe kulingana na mazingira yetu na kwa mujibu wake ana changamoto
 
fanya biashara moja tu, mpaka uielewe changamoto zake zote na namna ya kukabolianza nazo. Ikianza kujiendeshaa yenyewe bila kuhitaji usimamizi wako ndiyo funguwa nyingine. Bila hivyo utahangaika sana.
 
Biashara uchawi ni location na bidhaa sahihi. Wakati mwingine unakuta unaenda anzisha biashara sehemu mbaya kwa kuhofia kodi kubwa eneo lenye mzunguko mzuri
Jamani wewe huko ulimwengu gani unayetaka location? Biashara ya sasaiv haitaji chumba cha kupanga, ni wewe tu na akili yako.
 
kuna mdada mmoja huku mtaani alianzisha biashara ya chakula alifanya biashara siku moja tu siku iliyofuata akafunga biashara sababu anasema biashara ngumu sasa anaendelea na biashara yake ya muda mrefu ya kuuza nyama (code)
Ipo siku atazeeka au maradhi kabla ya uzee.
 
Utapata msaada humuhumu jf usijali.kuna watu humu huna haja ya kuwajua .
Watakusaidia.
 
Naungana na Wewe Mkuu, Kibongo Bongo mitaji yenyewe ya biashara ni changamoto. Japo pia tuna tatizo la kutofanya uchambuzi makini wa aina ya biashara za kufanya.

Kuna biashara nyingine, kama hauna taarifa za kutosha unaweza kujikuta unapoteza Mtaji wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…