Nimejaribu kuelezea maana ya kuishi na mwanamke kwa akili

Vumilia mpaka mwisho ndo na nilivyo sipendi kelele. Zungumza naye ikishindikana na wewe uwe unarapu. Life is too short
Kurapu ni matokeo ya malezi mabovu.
Mtoto anaachwa anaongea tu hovyo bila brake,Hana wa kumzuia asiongee unnecessary akiwa mkubwa ni lazima awe rapa.
Bahati mbaya unakosea kuingia kwenye ndoa
 
So ni jinsia ya ke waliolelewa uswazi
 
Back
Top Bottom