Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 786
- 2,860
Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Angela Kizigha (mpambe mpendwa wa mama).
Katika miezi ya hivi karibuni, ameingiza magari yapatayo sita zikiwemo loizi loizi mbili.
Nimetumia free account Kwahiyo kuna data zinafichwa kama prices na data nyingine za miezi ya nyuma.
Itoshe tu kusema Pesa iko bwana weeeh!!!