pakashumeeew
Senior Member
- Oct 11, 2025
- 157
- 361
Watazitapika
Nyumba ni chooVijana wa hovyo sana. Mnawaza choo tu 😃😃
Used bei gani!?Hasa mbona Rolls Royce yenyewe ni used halafu ilinunuliwa mwaka 2023
Kale kadada kanawalisha watu matangapori bila chumvi.....
View attachment 3489233
Hii ndiyo inaitwa 'ponda mali kufa kwaja'.
View attachment 3489231
Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Angela Kizigha (mpambe mpendwa wa mama).
Katika miezi ya hivi karibuni, ameingiza magari yapatayo sita zikiwemo loizi loizi mbili.
Nimetumia free account Kwahiyo kuna data zinafichwa kama prices na data nyingine za miezi ya nyuma.
Itoshe tu kusema Pesa iko bwana weeeh!!!
Kwani magari yote lazima uagize kupitia jina lako?Hasa mbona Rolls Royce yenyewe ni used halafu ilinunuliwa mwaka 2023
Kale kadada kanawalisha watu matangapori bila chumvi.....
View attachment 3489233
Halafu ni "loizi loizi" mbili.Hasa mbona Rolls Royce yenyewe ni used halafu ilinunuliwa mwaka 2023
Kale kadada kanawalisha watu matangapori bila chumvi.....
View attachment 3489233
Mshangazi flan kajipataSema Angela Kizigha amejaliwa mzigo ile laana... yaani unamlemea. Dini jirani huita NEEMA ZA ALLAH
Nepal mtoto wa mwanasiasa kupiga picha hii ilitosha kuwaingiza watu mtaani kuwatoa mafisadi
View attachment 3489231
Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Angela Kizigha (mpambe mpendwa wa mama).
Katika miezi ya hivi karibuni, ameingiza magari yapatayo sita zikiwemo loizi loizi mbili.
Nimetumia free account Kwahiyo kuna data zinafichwa kama prices na data nyingine za miezi ya nyuma.
Itoshe tu kusema Pesa iko bwana weeeh!!!
Nchi nimejaa mafala kweli kweli. Yaani watu wanabishana simba na yanga hatuchezi wakati TAL yupo ndani. Waache waibe mimi naomba Mungu waongeze spidi mpaka watu wawe tayari kuua polisi.Hii ndiyo inaitwa 'ponda mali kufa kwaja'.
Kifo cha Mwendakuzimu kilikuwa neema ya kiuchumi kwa hii familia ya bi Angela. Anyway ni binadamu wachache wanaoweza kiacha chance ya kuiba panapopatikana upenyo, huyu mwanamke amewazidi dealers karibu wote wa Kibongo na alikuwa anazipiga kimyakimya Magu ndiyo akamuweka hadharani.
Hangore zao kama familia, nchi imejaa mafala acha wajanja waendelee kuibagaza.
Tena binti ambaye hata haja balehe, anaonesha watu mido finga.Nepal mtoto wa mwanasiasa kupiga picha hii ilitosha kuwaingiza watu mtaani kuwatoa mafisadiView attachment 3489373
Huku kwetu Mpk tunoneshwa vidole vya kati na mtoto wa DGIS tupo tuuView attachment 3489375
Ww hilo kopo unalo?maana yake ni kopo tu
mwenye hela hanunui used
isemwe tu ana hela kutushinda sisi inatosha, badala kuongezea upupu
Sema Angela Kizigha amejaliwa mzigo ile laana... yaani unamlemea. Dini jirani huita NEEMA ZA ALLAH
Mpigie kamanda Mafwele akutumie namba.siwezi kupata number yake mkuu Mushangazi huyu niendelee kutafuna mdogo mdogo ukishidwa kupigana nao Ungana nao
😂😂😂Mpigie kamanda Mafwele akutumie namba.
Tukiachana na hizi picha, kitendo tu cha TRA kufuta taarifa za ule muhamala wa Abdul kwenye kanzi data zao hili kuficha ufisadi uliofanywa na Abdul ilikuwa ni sababu tosha kabisa ya kufanya wabongo wakaivamie ile wizara ya fedha na kufurumusha kila mtu kisha wizara izaliwe upya.Nepal mtoto wa mwanasiasa kupiga picha hii ilitosha kuwaingiza watu mtaani kuwatoa mafisadiView attachment 3489373
Huku kwetu Mpk tunoneshwa vidole vya kati na mtoto wa DGIS tupo tuuView attachment 3489375