Wacha bwana!!! Wakati hata ugali uloiva na mbichi hujui weye ilimradi mkono uende kinywani.Mi nadili na end products..Nina mdomo/ulimi makini wenye kutambua ladha nzuri na mbaya..Ndo mana nasema ningezionja ningetoa maksi.
Haujaweka mafuta au butter hata kidogo kwenye kukandia?
Na je dough ilikuwaje?
Sio kila mtu huwa anapenda mayai, hivyo sio lazima. Kuwa laini sio lazima yai ila ukizingatia hayo mahitaji mengine vizuri na ukandaji yanakuwa laini vizuri tu.Inamaana hizi nusukeki haziwekwi mayai...zinaanzaje kuwa laini sasa?
Safi sana..Uendelee hivyo hivyo hadi ndoani..Wengi wenu mkiingia kwenye ndoa hizi kazi mnamuachia dada wa kazi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipande hii niko njema kiasi dear, sio mtaalamu ila najitahidi kiasi. I love cooking[emoji6]
Oh! Mahitaji yote aliyotaja naona makavu tu, mbaya zaidi akatumia maji ya baridi. Lazima litoke JIWE...chapati zenyewe tunatumia maji ya vuguvugu kukanda.Sio kila mtu huwa anapenda mayai, hivyo sio lazima. Kuwa laini sio lazima yai ila ukizingatia hayo mahitaji mengine vizuri na ukandaji yanakuwa laini vizuri tu.
Amekosea kwenye ukandaji na kutokutumia mafuta ktk kukanda.Oh! Mahitaji yote aliyotaja naona makavu tu, mbaya zaidi akatumia maji ya baridi. Lazima litoke JIWE...chapati zenyewe tunatumia maji ya vuguvugu kukanda.
Kama mayai sio lazima, hata siagi kidogo ingesawazisha mambo. Vinginevyo atatuandalia visheti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana..Uendelee hivyo hivyo hadi ndoani..Wengi wenu mkiingia kwenye ndoa hizi kazi mnamuachia dada wa kazi..
Hahhahahhahahhhahhahahhahahaha mkuu ni nini hiki ulipika!?Hizi ndo zilizokatika ila zilikuwa laini ila za leo zimetoka ngumu adi kutafuna meno yanaumaView attachment 1101059
Majukumu yapi tena??...Nimempenda gafla hg wenu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We hujui tukiingia huko majukumu yanaongezeka na kuwa mazito zaidi? Nakumbuka hg wetu ndio alinifundishaga kupika chapati tamu na laini. Alikuwa anajua kupika chapati yule mtoto[emoji134]
Amekosea kwenye ukandaji na kutokutumia mafuta ktk kukanda.
Chapati mie hutumia maji ya baridi, tena ikibidi ya kutoka frijini na zinakuwa[emoji108][emoji108][emoji108]
Mmh mi chapat nikikupikia uchok kula ni laini alafu zinang aa hatarMh! Hizo sasa zitakua chapati au mikate isiyotiwa chachu?
Yaani zinatoka lainiiii, tamuuuuu[emoji108][emoji108]Mh! Hizo sasa zitakua chapati au mikate isiyotiwa chachu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majukumu yapi tena??...Nimempenda gafla hg wenu..
Hivi hg akiwa noma kwenye mapishi..Ni sahihi father house kumsifia??
vizuri👍ni tamu kabisaJamani kuna siku nililalamika keki zangu zilipasuka ovyo ovyo nilivyozitia kwenye mafut! Nikapata ushaur nipunguze sukari na baking powder leo nimepika hizi maoni yenu tafadhali nirekebishe niniView attachment 1101056
Umezionja?vizuri[emoji106]ni tamu kabisa