Nimejaribu kupika tena keki

Nimejaribu kupika tena keki

Mi nadili na end products..Nina mdomo/ulimi makini wenye kutambua ladha nzuri na mbaya..Ndo mana nasema ningezionja ningetoa maksi.
Wacha bwana!!! Wakati hata ugali uloiva na mbichi hujui weye ilimradi mkono uende kinywani.
 
Inamaana hizi nusukeki haziwekwi mayai...zinaanzaje kuwa laini sasa?
Sio kila mtu huwa anapenda mayai, hivyo sio lazima. Kuwa laini sio lazima yai ila ukizingatia hayo mahitaji mengine vizuri na ukandaji yanakuwa laini vizuri tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipande hii niko njema kiasi dear, sio mtaalamu ila najitahidi kiasi. I love cooking[emoji6]
Safi sana..Uendelee hivyo hivyo hadi ndoani..Wengi wenu mkiingia kwenye ndoa hizi kazi mnamuachia dada wa kazi..
 
Sio kila mtu huwa anapenda mayai, hivyo sio lazima. Kuwa laini sio lazima yai ila ukizingatia hayo mahitaji mengine vizuri na ukandaji yanakuwa laini vizuri tu.
Oh! Mahitaji yote aliyotaja naona makavu tu, mbaya zaidi akatumia maji ya baridi. Lazima litoke JIWE...chapati zenyewe tunatumia maji ya vuguvugu kukanda.

Kama mayai sio lazima, hata siagi kidogo ingesawazisha mambo. Vinginevyo atatuandalia visheti
 
Amekosea kwenye ukandaji na kutokutumia mafuta ktk kukanda.

Chapati mie hutumia maji ya baridi, tena ikibidi ya kutoka frijini na zinakuwa[emoji108][emoji108][emoji108]
 
Safi sana..Uendelee hivyo hivyo hadi ndoani..Wengi wenu mkiingia kwenye ndoa hizi kazi mnamuachia dada wa kazi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We hujui tukiingia huko majukumu yanaongezeka na kuwa mazito zaidi? Nakumbuka hg wetu ndio alinifundishaga kupika chapati tamu na laini. Alikuwa anajua kupika chapati yule mtoto[emoji134]
 
Majukumu yapi tena??...Nimempenda gafla hg wenu..

Hivi hg akiwa noma kwenye mapishi..Ni sahihi father house kumsifia??
 
Amekosea kwenye ukandaji na kutokutumia mafuta ktk kukanda.

Chapati mie hutumia maji ya baridi, tena ikibidi ya kutoka frijini na zinakuwa[emoji108][emoji108][emoji108]

Mh! Hizo sasa zitakua chapati au mikate isiyotiwa chachu?
 
Back
Top Bottom