Sio «Bayi« ni BatiSiyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wa stendi usimtie kwikwi mwenzio! Mtie moyo basi.Hapo fundi alikupiga cement mfuko 8
Nakuunga mkono kwa ushauri huu.Ukishaamua lako usitegemee ushauri kutoka kwa watu. Kama hapo palipofikia hiyo nyumba inaweza kukalika nenda kakae vingine utamalizia ukiwa humo.
Umewahi kujenga? Na kama ndiyo ni lini?Umeibiwa .
Wewe ndiye unauliza maswali haya?umewahi kujenga au unatuma watu wakujengee ?
Mimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...
Usinikumbushe mkuu. Leo kila nikivuta fikra nilivyoingia na hali ya sasa, NAMTUKUZA SANA MUNGU.Wengi tumehamia ikiwa nyumba haijaisja na ukiingia nyumba ya namna hyo lazima moyo ukusute
Usinikumbushe mkuu. Leo kila nikivuta fikra nilivyoingia na hali ya sasa, NAMTUKUZA SANA MUNGU.
Hakika ukiwa katika Nyumba ya hali hiyo nafsi inakusuta hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nimemwelewa...........Mkuu umemaanisha au?hata hivyo sikubishii inawezekana ulipo wewe gharama zikawa kubwa zaidi but kwa ujenzi wa nyumba standard Dar gharama zipo juu kiasi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Jf Kuna watu zaidi ya million.. kwenye uzi huu watu hawafiki laki..Kwenye mada kama hizi JF usitegemee kukuta mtu ambaye hajajenga....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu acha uogaa kujenga ni mchakato, unaanza mdogo mdogoMkuu hebu tuambie, ujue kwa kauli hiyo nimeona kama sitaweza kujenga maisha yangu yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakulewa mkuu. Ila kikubwa ni dhamira, siyo kuwa na wingi wa fedha.Bora ww!sie tulihamia tukawa tunashindwa kuita nyumbani tunaita site🤣!dah
Nakulewa mkuu. Ila kikubwa ni dhamira, siyo kuwa na wingi wa fedha.
Mkuu mimi huwa natunza sana kumbukumbu, bahati mbaya siku zile siyo kama za sasa ambapo tuna makamera kurahisi hivi hata kwenye simu za tochi. Ningetuma humu uone tulivyoingia! Nashindwa kuelezea ila kwa kadri ulivyosema hapo juu naamini unapata picha. Ila kama nilivyosema, uhitaji, DHAMIRA na kujifahamu kwamba HAPA PANGU ndiyo ilikuwa hamasa kuhamia.
Tumtie moyo mtoa mada kuwa amepiga hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bayi???mkosoa......Siyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana, ujenzi ni mwendo mdogo utafikia malengoKama somo linavyojielewa hapo juu
Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill) tayari. Lakini kitu kinachoniuma sijapiga hesabu vizuri.
Nilitegemea kibanda japo niwe nimehamia.
Floor bado, blandaring, je sijapoteza?
Asante sana
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] hauko serious brothrMi kwa hiyo 12m nimejenga ghorofa na nyumba imeisha Mbezi Beach kwa Zena Kawawa
Hii nyumba unasimamia mwenyewe maana kuna mtu kwa hela hiyo kina mtu namfahamu alijenga vyumba vinne chumba kimoja master, sebule mbili ambapo moja ipo chini na nyumba ni underground
Labda kapaua na viooNdugu usitishwe na maneno kama Haya. Hatua uliyopiga ni kubwa. Angalia huyu ndugu milion 50 na bado ajamaliza finishing vyumba vitatu? Kupau 15 unapau nini? Ndio fundi wako anakupiga namna hii?? Kama kweli unajenga na sio porojo na umetumia kiasi hicho basi huyo fundi wako kamtimue haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app