Mil 12? Hapo utakuwa umejenga taka taka, sorry to say that. Wakati mwingine ni bora kukawia lakini ukatoa kitu cha maana. Kuliko kufanya haraka unajenga kitu ambacho kitakusumbua kila mwaka.
1. Ubora wa tofali ukoje.
2. Ubora wa mota/ udongo wa kujengea
3. Ubora wa msingi. Tofali za msingi nchi 6 za kulaza zenye ratio kali.
4. Weka jamvi na nondo 4 kuzunguka kuta
5. Weka linta ya nondo 4.
6. Pandisha tofali 3 baada ya linta
7. Paua kwa mbao nzuri, zilizokomaa na zikawa treated vizuri.
8. Weka bati geji 28