Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Mil 12? Hapo utakuwa umejenga taka taka, sorry to say that. Wakati mwingine ni bora kukawia lakini ukatoa kitu cha maana. Kuliko kufanya haraka unajenga kitu ambacho kitakusumbua kila mwaka.

1. Ubora wa tofali ukoje.
2. Ubora wa mota/ udongo wa kujengea
3. Ubora wa msingi. Tofali za msingi nchi 6 za kulaza zenye ratio kali.
4. Weka jamvi na nondo 4 kuzunguka kuta
5. Weka linta ya nondo 4.
6. Pandisha tofali 3 baada ya linta
7. Paua kwa mbao nzuri, zilizokomaa na zikawa treated vizuri.
8. Weka bati geji 28
 
Siyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio «Bayi« ni Bati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa mtazamo wangu, umejitahidi sana. Hapo ulipofikia kwa hesabu hizo umeenda vizuri, sijui umemudu vipi, viwango vikoje labda maana kwa haraka kuna vitu naona kama tayari ulikua navyo ama umepata kwa bei ya chini sana
 
Labda umejenga chini ya bahar kaka, hiyo garama ni kubwa kwa kifupi umepigwa sana. Anyway sijui kiwanja kipo ktk mazingira gani
Mimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..........Mkuu umemaanisha au?hata hivyo sikubishii inawezekana ulipo wewe gharama zikawa kubwa zaidi but kwa ujenzi wa nyumba standard Dar gharama zipo juu kiasi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu mimi nimemwelewa.
Ukiachilia mbali 'maeneo' na bei ya viwanja, lakini upatikanaji na bei ya vifaa kwa Dar ni nafuu sana. Hiyo "gharama zipo juu kiasi" basi katika baadhi ya mikoa ni "juu zaidi".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ww!sie tulihamia tukawa tunashindwa kuita nyumbani tunaita site🤣!dah
Nakulewa mkuu. Ila kikubwa ni dhamira, siyo kuwa na wingi wa fedha.
Mkuu mimi huwa natunza sana kumbukumbu, bahati mbaya siku zile siyo kama za sasa ambapo tuna makamera kurahisi hivi hata kwenye simu za tochi. Ningetuma humu uone tulivyoingia! Nashindwa kuelezea ila kwa kadri ulivyosema hapo juu naamini unapata picha. Ila kama nilivyosema, uhitaji, DHAMIRA na kujifahamu kwamba HAPA PANGU ndiyo ilikuwa hamasa kuhamia.

Tumtie moyo mtoa mada kuwa amepiga hatua.

Amepiga hatua kubwa sana kwa zama hizi!keep up!
 
Siyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bayi???mkosoa......
 
Kama somo linavyojielewa hapo juu

Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill) tayari. Lakini kitu kinachoniuma sijapiga hesabu vizuri.

Nilitegemea kibanda japo niwe nimehamia.

Floor bado, blandaring, je sijapoteza?

Asante sana
Hongera sana, ujenzi ni mwendo mdogo utafikia malengo

Sent using Infinix S3
 
Hii nyumba unasimamia mwenyewe maana kuna mtu kwa hela hiyo kina mtu namfahamu alijenga vyumba vinne chumba kimoja master, sebule mbili ambapo moja ipo chini na nyumba ni underground

Amejengea wapi kwa gharama hio ndugu?
 
Ndugu usitishwe na maneno kama Haya. Hatua uliyopiga ni kubwa. Angalia huyu ndugu milion 50 na bado ajamaliza finishing vyumba vitatu? Kupau 15 unapau nini? Ndio fundi wako anakupiga namna hii?? Kama kweli unajenga na sio porojo na umetumia kiasi hicho basi huyo fundi wako kamtimue haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kapaua na vioo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom