Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8000
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13000
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Umeweka bati la vigae nn? Hongera sana
 


Si poa kuita nyumba yako kibanda. Hiyo haijatulia kwa kweli.
 
Mleta Mada utakua dalal Kuna nyumba unataka uishushe bei na. Mwenye nyumba yupo umu ivyo umeanzisha uzi ili ajue ujenzi bei nafuu wewe nyumba gani ambayo umeilezea apo uijenge kwa hela io???
 
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)

Fahamu gharama ujenzi wa nyumba yako kwa kila steji kama MSINGI, KUTA, PAA, RANGI, DARI, MAJI, UMEME... ili uweze fanya tathimini ya uwezo wako kama upo chini au juu sanaaa na uanze kuweka mipango mikakati vyema ya kuweza kufanikisha ujenzi wa nyumba yako!
 
Wanasema wametumia 12 Million na msingi bado haujakamilika. Hivyo wanaendelea kupanga miezi 6 mingine.
Hivi kweli mtu aliyepanga akiwa na million 12 anashindwa kuingia kwake?
 
Watu kweli wanapiga kamba, kama hivyo vyote haujafanya hiyo pesa umetumia katika nini? Kama nyumba ni ya ghorofa ungeweka wazi. Eti finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Bado. Kwa hapo maana yake ni gofu. Labda kama umetunza pesa taslim chini ya msingi. Kisha ukaingiza katika gharama za ujenzi.
 
Jenga hata banda la kuku ndo utauelewa ujenzi ndugu...
 
Duuh [emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ni kweli kabisa, Kati ya boma na boma gharama hazipishani sana. Tofauti ipo katika finishing. Tiles box bei sh 25,000 kwa sh 70,000 yaani Tz kwa Spain. Sqm zile zile. Sinki(Choo) 20,000 kwa laki 5. Sasa mtu hajafika katika finishing anakuja na gharama kubwa sana.
 
Mkuu umeamua kutuchana live bila chenga
 
Duuh Nyie ndio mnatukatisha tamaa. Nayway sio lazima nijenge kama yako. Ngoja mimi nipige zangu hii hii ya banda la kuku kama mnavyoita.
 
Kwa maelezo haya wewe ni mjengaji achana na hawa wenye uzoefu kwenye nyumba za kaka zao na wajomba zao.
 
Duuh Nyie ndio mnatukatisha tamaa. Nayway sio lazima nijenge kama yako. Ngoja mimi nipige zangu hii hii ya banda la kuku kama mnavyoita.
Mkuu unaweza kuta nyumba ramani ile ile na ukubwa ule ule moja imetumia mil 50, nyingine imekula mil. 200 kutegemea na eneo, ubora wa materials na aina za mafundi au injinia.
 
Hongera Sana...mi nimejenga the same house ila sitting kubwa na master kubwa,.choo Cha public ndani ,jiko na store ila nadhan..na nimeweka grill ya madirisha na milango kote...nahisi 14-15M ishatembea na hata jamvi,Wala blundering Wala system ya maji sijaweka..

Ukimuona mtu anaringa na nyumba yake muheshimu aisee..nyumba sio lele Mama.
 
Mkuu unaweza kuta nyumba ramani ile ile na ukubwa ule ule moja imetumia mil 50, nyingine imekula mil. 200 kutegemea na eneo, ubora wa materials na aina za mafundi au injinia.
kweli. muhimu katika yote kujenga ni akili sana. Unatakiwa wewe mwenyewe ushiriki kikamilifu. Lakini jambo lingine la Msingi ni Rational use of resources. Engineer mwingine kwa kutaka sifa anakupangia vitu vyenye gharama kubwa ambavyo sio lazima. Mfano hata hospitali unaweza kwenda una maumivu ya mguu ukapewa dawa za elfu 30 wakati panadol ya elfu moja na miatano zilikuwa zinatosha kuondoa maumivu hayo hayo na bila madhara yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…