Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000


Mkuu usibishane naye huyu huwezi jua anajenga nyumba ya kiwango gani?but kwa uzoefu nyumba hizi hizi za vyumba vitatu kimoja master unaweza ukaijenga hata 300m inategemea ramani yako ya nyumba na aina ya mafundi unatumia,but mm nimejenga nyumba ya hivyo kwa zaidi ya 200m
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jf bwana
 
Hongera sana
Maadamu ushafika hapo pambana ukamilishe master bedroom full uhamie kama uko mwenyewe
Ili uokoe kodi huko ulipopanga mengine umalizie ukiwa ndani

Kama una familia pambana iweke sawa kuhamia then ingia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo unajiuliza humu watu wanajenga nyumba au vitu vinavyofanana na nyumba,mtu anashangaa nyumba ya vyumba 3 kutumia milioni 50 na bado haijakamilika! hizo rate mbona ni za chini sana na hapo umehenya na hawa mafundi wa kitaa. Hapo umezunguka maduka kupata penye unafuu wa bei ya material na umesimamia mguu kwa mguu.
 
Hapo ulipofikia ndì ujenzi unaanza.
Umeniwahi nami nilitaka kumwambia hivyo, halafu unasemaje umejenga nyumba na wakati haina madirisha na milango ?, wala floor hujapiga !, wala plasta hujapiga !, hiyo sio nyumba hiyo ni site kwa sababu humo wanweza kuishi vicheche
 
Mkuu, usilaumu vijana , muulize kwanza yuko mji gani, ujenzi hapa nchini unatofautiana saana toka mji mmoja na mwingine
 
Umeniwahi nami nilitaka kumwambia hivyo, halafu unasemaje umejenga nyumba na wakati haina madirisha na milango ?, wala floor hujapiga !, wala plasta hujapiga !, hiyo sio nyumba hiyo ni site kwa sababu humo wanweza kuishi vicheche
Bila kusahau bundi maana hajapiga hata PVC
 

Maana nachoshangaa maana bati za migongo mipana or maxcover lazima huezekaji huende kwny 15m ,na hukigusa versatile,romanitile lazima ufike 30m hapo kuezeka tu maana haina hiyo ya huezekaji inahitaji mbao nyingi labda tuwaulize
 
Mkuu wanatufanya sisi tusio na vibanda πŸ˜‰ tubaki modomo wazi tu hapa mana si kwa migharama hiyo. 😎
Hahaha ukiwa na lako na unataka kuifanya Jf Sio mahala sahihi pakuomba ushauri.... Kama haujiamini unaweza kupata pressure
 
Hahaha ukiwa na lako na unataka kuifanya Jf Sio mahala sahihi pakuomba ushauri.... Kama haujiamini unaweza kupata pressure
Kabisa yaani Mkuu. Sababu kila mmoja akija anakuja na lwake yaani ni vigumu kujua kipi ubebe kipi uache.
 
Muongo huyo.
 
Aaha unaumwa ww dawa yako nishagunduaga ni bushmamy tu thts y nikamuita!😏
Achana na hilo boga ashanifata sana pm kunitongoza nikimuona bushmonkey Mla chips, mi na chips wap na wap nshazoea maisha yangu ya kigasta, majani na mabapa kwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…