kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Kungekuwa na uwezekano ningehamishia Kiwanja Dar hafu najenga hukohuko kisha naihamishia nyumba huku[emoji2] [emoji2]Pwani yote bei no 13000-14000! Sijajua km imepanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kungekuwa na uwezekano ningehamishia Kiwanja Dar hafu najenga hukohuko kisha naihamishia nyumba huku[emoji2] [emoji2]Pwani yote bei no 13000-14000! Sijajua km imepanda
Hata akisema bati 200 na mbao 400 misumari gunia 3 haifiki hiyo 15M .... Jamaa muongo ana mahesabu kama ya CHAKUBANGANdugu usitishwe na maneno kama Haya. Hatua uliyopiga ni kubwa. Angalia huyu ndugu milion 50 na bado ajamaliza finishing vyumba vitatu? Kupau 15 unapau nini? Ndio fundi wako anakupiga namna hii?? Kama kweli unajenga na sio porojo na umetumia kiasi hicho basi huyo fundi wako kamtimue haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nishaelewaaa aiseee sema na ww kausha sasa tusimwage mchele kwny kuku wengi[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaha eti tayari..nacheka kifwala!.changa[emoji91] ni nyingi sana aisee unaenda mbele hatua kumi unaridi 3[emoji58].muombe@Bushmamy namba zangu[emoji28][emoji28]!
Hatubishani mkuu tunawekana sawa,kwa post mnazotuma hapa za watu mnaopigwa huko mitaani na mafundi na mainjinia akizisoma mtu mwenye nia ya kujenga ataingia woga kwamba akiwa na mil 20/30 hawezi kuanza ujenzi kumbe ni uwongo.Tusibishane sana mkuu, wengine wanatumia material reject, low quality au zilizoibwa mahali. kuna jamaa aliwahi kusema hatumii pesa nyingi kwa mafundi, anavizia wakiwa wamepigika hasa anawaita wanapiga msosi ambao wataufanyia kazi. Kwa upande wako inawezekana kabisa upo sahihi..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nishaelewaaa aiseee sema na ww kausha sasa tusimwage mchele kwny kuku wengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aisee narudi nyuma Sana'a[emoji28][emoji28]
Salamu zimefika mkuu, anashangilia ushindi wa jana kwa kuandaa wali na maharage ya nazi saa hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16] heheheh lait ungejua[emoji23][emoji23][emoji23]Aaha unaumwa ww dawa yako nishagunduaga ni bushmamy tu thts y nikamuita![emoji57]
Hiyo mikopo chefuchefu utailipa lini?Dah! Hujapoteza. Nimeshazamisha the same amount lakini nyumba ndio kwanza iko kwenye msingi na sioni dalili za kuumaliza.
Unajisifu kutapeliwa? We hamnazo kweli kweli.Mimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...
Room mbili ni 6M inatoshaSiyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi vijana wa mjini kujifanya kujua kwingi ndio maana kila siku mnamaliza mtaa kwenye nyumba za kupanga,miezi sita tabata,inayofuata sinza,kimara hamjengi.
Wakati mwingine mkija mikoani mnaona aibu kwakuwakuta vijana wa umri chini yenu wapo kwenye nyumba zao na maisha yanasonga.
Hii ni kwasababu ya kujifanya wajuaji wakati kiuhalisia haimna isue kazi kuzurula na vibegi mjini hamna dira yoyote.
Ujenzi kama utausimamia mwenyewe na ukajua namna sahihi yakukwepa gharama utatumia pesa yakawaida.
Sio mbaya ninyi endeleeni kugombania na kujisifia kupanga nyumba za wenzenu zenye tiles nzuri,aluminium,uzio na ma geti mpaka mstuke mvi kichwani.
Nyumba hiyo kupaua kwa m 15 kama kuna ukakasi sehemu.Mimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...
Wajenzi wengi waongo sana.Hata akisema bati 200 na mbao 400 misumari gunia 3 haifiki hiyo 15M .... Jamaa muongo ana mahesabu kama ya CHAKUBANGA
Nikipata Pension!
Mil 7 atamaliza kila kitu? Unajielewa kweli wewe? Hivi unajua gharama ya finishing ni mara 2 hadi 3 ya gharama ya boma? Au u anazungumzia kumaliza kila kitu kwa namna ganiUjenzi ni eneo mkuu, sasa hujasema umejengea mkoa gani, ila kwa uzoefu wangu hapo andaa milioni nyingine 7 hivi utamaliza kila kitu
NB: unaweza usiimalize hiyo Ml. 7 au ikaongezeka kidogo sana
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Umejenga ghorofa? Mbona pesa nyingi sana kwa roofing chaa!! Au huwa unatuma kwa mpesa watu wanakununulia vifaa na kujengaMimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...
Rahisi kwa sababu ya upatikanaji wa material.... unaweza kununua kiwandani moja kwa moja. Inakua nafuu..........Mkuu umemaanisha au?hata hivyo sikubishii inawezekana ulipo wewe gharama zikawa kubwa zaidi but kwa ujenzi wa nyumba standard Dar gharama zipo juu kiasi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk