Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nishaelewaaa aiseee sema na ww kausha sasa tusimwage mchele kwny kuku wengi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli aisee narudi nyuma Sana'a[emoji28][emoji28]
Kausha nini wewe takotu, mbuzi kunuka wewe
 
Mkuu umejenga msingi na mabati yani kupaua kwa milioni 3? Nyumba ina matofali mangapi? Bati uliweka geji gani na ulinunua wapi? Kenchi umeweka za kiasi gani na ulinunua wapi? na pia hayo matofali cement ulinunua mifuko mingapi na kila mfuko ulikua unatoa tofali ngapi..?
 
Kuna mshkaji wangu alikua anajenga goba, siku nafika site kwake nakuta mafundi ndo wanafanya skimming, nyumba bado haijapigwa tiles wala aluminum windows jamaa ananiambia imeshakula million 70. Aisee kidogo nizimie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hilo boga ashanifata sana pm kunitongoza nikimuona bushmonkey Mla chips, mi na chips wap na wap nshazoea maisha yangu ya kigasta, majani na mabapa kwa sana

🤣🤣🤣kuna kipindi ilisemekana yy ndo anaongoza kwa kutongoza ..!😅!kidume huyo oho
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna zile nyumba za kizamani...zile vyumba na korido!sijui km unanielewa!.so inawezekana km iko hvyo..nyumba za zaman zina ufupi fulan...nyumba za kisasa zimepanda kama kozi kadhaa!sipend nyumba zenye kordo upande rums then kwisha habareee😉!
 
Anhaa kwamba huyu ndo amejenga nyumba ya style hio? Hizo uswahilini wanaziita "banda" korido ndefu kanisani kila upande una room..
 
Anhaa kwamba huyu ndo amejenga nyumba ya style hio? Hizo uswahilini wanaziita "banda" korido ndefu kanisani kila upande una room..

Hahhhahah! Niwe mkweli sizipendi! Mie tuliyojenga ni kama sh tano ilivyo ile ya zamani!ina kona fulan amazing humo ndani!hujui rooms ziko wap!mikorido hyp mm hapana aisee
 
Hahhhahah! Niwe mkweli sizipendi! Mie tuliyojenga ni kama sh tano ilivyo ile ya zamani!ina kona fulan amazing humo ndani!hujui rooms ziko wap!mikorido hyp mm hapana aisee
Hahahaha kona hizo zinapendeza kwa ajili ya watoti kujifunzia kurndesha baskeli wanakua wanashikilia hawadondoki..hahahaha ila humu watu ni waongo sana wanapenda kukuza mambo sana...
 
Inawezekana kabisa kutegemeana na sehemu ulipo. Mimi huku mkoani (Bara) nimejenga nyumba ya namna hiyo kwa sh.9,000,000/= tu. Na tayari nimeshahamia.

Imagine huku kiwanja kinauzwa kwa sh.700,000 tu au any amount but not above 1,500,000/= unafikiri ujenzi wake ni gharama basi? Mchanga upo wa kutosha, mawe bei cheee, cement na nondo na hata bati nazo ni bei ya kawaida tu. Kwanini ushindwe kujenga kwa gharama hiyo?
 
Hahahaha kona hizo zinapendeza kwa ajili ya watoti kujifunzia kurndesha baskeli wanakua wanashikilia hawadondoki..hahahaha ila humu watu ni waongo sana wanapenda kukuza mambo sana...

😀😀😀watajifunzia nje aisee
 
Huenda sijakuelewa!umesema tulijenga kwa muda gan?nikajibu 2yrs..ss sijaelewa point yako hapa
Ulinsema mmejenga design ya sh.tano ina pembe pembe..na style kama hii ya banda vyumba vyenye korido ndefu..au nimechanganya sehemu?
 
Ulinsema mmejenga design ya sh.tano ina pembe pembe..na style kama hii ya banda vyumba vyenye korido ndefu..au nimechanganya sehemu?

Nilisema huyu alojenga kwa 3m huenda ni zile styles za zaman...korido pemben vyumba! Sipend korido....nikasema kuna desgn nzuri km hyo ya pembe za shiling 5!ndan inakuwa hvyo sio nje!nje inakuwa sq tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…