dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Tabata kinyerezi
Amejengea wapi kwa gharama hio ndugu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejengea wapi kwa gharama hio ndugu?
Mil 7 atamaliza kila kitu? Unajielewa kweli wewe? Hivi unajua gharama ya finishing ni mara 2 hadi 3 ya gharama ya boma? Au u anazungumzia kumaliza kila kitu kwa namna gani
Sent using Jamii Forums mobile app
..........Mkuu umemaanisha au?hata hivyo sikubishii inawezekana ulipo wewe gharama zikawa kubwa zaidi but kwa ujenzi wa nyumba standard Dar gharama zipo juu kiasi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Naunga hoja mkono mkuu.................Sawa sawa brother ila usi-panic sana mpaka ukafikia kutoa kauli zisizofaa!
Mimi kwa upande wangu nahitimisha kwa kusema kwamba “wewe ni changamsha genge tu huna popote ulipoweka hata msingi wa nyumba so huna idea na masuala ya ujenzi ndo mana umeshindwa kutetea hoja zako kwa facts”
Nimemalizana na wewe,sitakurudia tena hapa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hongera sana, hii ipo mkoa upi? Natarajia kuanza ujenzi naona namna ya ujenzi yaendana na huku nilipo so nataka pata picha kamili ya kujiandaaHongera kwa hatua hiyo. Mimi mwenyewe mpaka hatua hii nimetumia 13M. Vyumba 4, sebule kubwa(4*5m) dining, toilet moja ndani. Inawezekana ikiwa Kuna usimamizi wa karibu na siyo wa kuagizaView attachment 1307621
Tabata kinyerezi
Mkuu kweli aisee mafundi hawaaminiki kabisa.Kwa mtu makini anayejua kucheza na pesa kwenye ujenzi kama nyumba ya ukubwa huo imeshakula 50millions na hujafikia hata kupiga plaster basi amini usiamini fundi wako au unayemwamini kukusimamia ujenzi atahamia kwenye nyumba yake akuache ukiwa bado kwenye nyumba ya kupanga.
Materials unaagiza kwa container kutoka ulaya au?sipo hapa kubishana nimekupa tahadhari tu.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Dar cement 14000Kwani cement Dar sh ngapi? Huku Mwanza ni 19-19500
Sitaki kusema uongo wala kubishana na mtu.Kiwanja nilipewa (sijanunua)nikatumia Milion tatu kujenga msingi mpaka bati nyumba ya vyumba vitatu na sebule.
Nimetumia milioni mbili kumalizia finishing mpaka tiles.
Nimetumia milion moja kujenga choo nje na septic tank.nimeingia kibishi nikaweka umeme after two years
NB:Matofali nimefyatua mwenyewe,
*fundi nimempata mtaani nikampa ramani tu.Nilimlipa Milion moja na nusu vyote mpaka mtu wa kupaua alimleta mwenyewe.
*Septic nimechimbiwa kwa elf 70 na kujengea nimechajiwa laki moja jumla laki na 70.Iliobaki ni kuunganisha choo ndani na cha nje coz septic tank ni moja.
Kwa hiyo,milion 3 msingi +milion 2 finishing + milion moja septic na choo nje+hela ya fundi milion moja na nusu+ rough extra milion moja( usafiri na matumizi madogo madogo pale site) nikijumlisha na gharama za wiring mpaka kuingiza umeme na kisima nje nimetumia roughly milion kumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti misumali gunia 3Hata akisema bati 200 na mbao 400 misumari gunia 3 haifiki hiyo 15M .... Jamaa muongo ana mahesabu kama ya CHAKUBANGA
Maana nachoshangaa maana bati za migongo mipana or maxcover lazima huezekaji huende kwny 15m ,na hukigusa versatile,romanitile lazima ufike 30m hapo kuezeka tu maana haina hiyo ya huezekaji inahitaji mbao nyingi labda tuwaulize
Hata Mimi watu wengine hunishangaza kujifanya ujuaji wakati ni mbumbumbu kabisa.Mil 7 atamaliza kila kitu? Unajielewa kweli wewe? Hivi unajua gharama ya finishing ni mara 2 hadi 3 ya gharama ya boma? Au u anazungumzia kumaliza kila kitu kwa namna gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinikumbushe mkuu. Leo kila nikivuta fikra nilivyoingia na hali ya sasa, NAMTUKUZA SANA MUNGU.
Hakika ukiwa katika Nyumba ya hali hiyo nafsi inakusuta hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vyovyote hizi reply zinahusu post zangu nilizo-post kwenye huu uzi,hata utumie material gani kutoka Tanzania hakuna nyumba ya chini ya room tatu even nne inajengwa boma tu bila kuezekwa kwa million 35 msiwatishe watu na kuwakatisha tamaa kwa vitu vyenu vya kubuni.
Hapo chini nitaonekana kama natafuta kick but siyo lengo langu nataka mkuu Nyumisi utuwekee hilo paa lililo-cost ml15 kwenye nyumba ya rooms zisizozidi tano,hapa nimeambatanisha picha bati ni ALAF order kiwandani moja nilinunua Tsh28,580 zimeingia bati 120,kuna kofia hesabu za mbao nk haijafika mill12 fundi 1.3mill nyumba ina master bedroom,vyumba viwili vya kulala,choo&bafu public,store,jiko dinning na sitting room kubwa inaenea set mbili za sofa na baraza mbili ya mbele kubwa na nyuma ya wastani,msingi wa hii nyumba chini ya ndugu yangu engineer ulikata mil8 na cent kadhaa.
Nimejengea tofali Nch 6,imekula tofali 4,170 cement sikuinyima nondo sikuinyima na kwa sababu pana kama kilima ina nguzo tano permanently za zege zilizosimama kutoka kwenye kiuno mpaka kwenye lintel zizolinigharimu cement ya kutosha sasa nimeshaipiga plaster iliyopimwa kwa TIMANZI cement tu nje na ndani mifuko 73,frame za milango nimeweka mbao Mninga nyumba nzima milango ipo saba frame moja 190K tayari nimeshafunga milango mitatu mkubwa umeni-cost 475K midogo @270K,nimepiga brandering na rough floor kwa ajili ya kupokea tiles napo nimeingiza mchanga na cement za kutosha,grills nimeweka chuma mml6 zipo dirisha 11 vyooni na store 4 ila nimepiga hesabu imegota kwenye Tsh46,475,000/=.
Huu ujenzi nimejenga Dar,naweza kusema nipo zaidi ya %70 nyumba kuimaliza it means kutoka sasa nikiwa na na 20mill nitakuwa naongea mengine halafu nyie mpo hapa mnadanganya jamii mnajenga maboma kwa mil50...siyo vizuri haipendezi kuna watu wanatamani waanze ujenzi ila wakikutana na haya mambo ya kuambiana habari za mamilioni wanaogopa hela wanaenda kuichoma bar au kununua magari wakiamini muda wao wa kuanza ujenzi bado kumbe hata million 10 inafaa kuanza.View attachment 1305931View attachment 1305932View attachment 1305933View attachment 1305934
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti misumali gunia 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unamsikii mwingine juu hapo ... Milioni 10 kajenga msingi ,boma, kapau , finishing, tiles ,choo ...... Asee hizi hesabu anaziweza Polepole tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti misumali gunia 3
Sent using Jamii Forums mobile app