Kuna bati za bei mbaya chief. ALAF versatile, romantile, na kuna bati za kigae zile ziko coated na mchanga kwa juu. So usibishe, pia room tatu zipo za ukubwa tofauti unakuta mtu kajenga room kubwa say 4 by 4meters na vyumba vyote ni self contained.Hata akisema bati 200 na mbao 400 misumari gunia 3 haifiki hiyo 15M .... Jamaa muongo ana mahesabu kama ya CHAKUBANGA
Sebule unakuta ukubwa 6by6 mters so huyo lazima atumie gharama kubwa. Binafsi nilitumia 10.8M kwenye foundation na kujaza kifusi. Zingatia eneo lilikua na slope kubwa iliyonigharimu kuweka mikanda/beam mbili. Na niliweka nguzo sita upande wenye slope na kati.
Na nilikuwepo site mwanzo mwisho hakuna kilichoibwa.
Msimbishie mtu hesabu zake muulizeni mchanganuo wa project yake.