900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
bila kuweka picha hapa utakuwa umepotezaKama somo linavyojielewa hapo juu
Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill) tayari. Lakini kitu kinachoniuma sijapiga hesabu vizuri.
Nilitegemea kibanda japo niwe nimehamia.
Floor bado, blandaring, je sijapoteza?
Asante sana