Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

Wapi huko mkuu?
Maana morogoro wanachoma sana tofari na bei ya jumla ni kuanzia 120-180.
Huko kwenye tsh50 sijui ni wapi!
Maeneo ya dumila, msimba, mkata, kimamba hadi kilosa tofali ya kuchoma sh 50 ndiobei yake mkuu na nimeshachomesha sana.
 
Hiyo nyumba ipo wapi........? Huku Yaeda nyumba Kama hiyo unaijenga kwa mil 2.3...........
 
Umeijenga wapi? Hebu tusaidie kwa kuweka mchanganuo na ina vyumba vingapi? Kwani kwa uzoefu wangu hiyo hela ni ya foundation tuu kwa nyumba ya kawaida kwa Dar, otherwise haitoshi hata foundation. Kiwanja je?

Yawezekana amejenga huko SANGAMWALUGESHA!!!!
 
Mafisadi kwa dharau hatuwawezi sawa bana
Sio fisadi mimi m4c with no apology, nyumba haina tiles? nyumba haina gypsum? nyumba haina aluminium? nyumba haijaezekwa msouth? nyumba haina fence? nyumba haina garden au perving blocks? nyumba choo cha nje?
 
By the way... Hongera kwa kutoka "kivyako" mwaka huu wa 2013!
 
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.

Ninajaribiwa kumpa hongera tena mheshimiwa sana Mwala J, kwani siyo tu nyumba bali pia na kausafiri kamepaki hapo nje.... Wasambaa wasema "Mwena ana"!!!
 
Sio fisadi mimi m4c with no apology, nyumba haina tiles? nyumba haina gypsum? nyumba haina aluminium? nyumba haijaezekwa msouth? nyumba haina fence? nyumba haina garden au perving blocks? nyumba choo cha nje?

Umeona gharama yake lakini ni 4.5m kwa fisadi hiyo ni gharama ya msauzi.
 
Back
Top Bottom