Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

Hongera aisee. Mi nakuamini kabisaaa!
Safi.sana. Miaka kadhaa ijayo tukija hapo tutapasahau matiles yanavyowakawaka.
 
Hongera sana kwa kuwa na makazi yako .
 
Kajitahidi kujenga nyumba na vitu vya mtumba bati madirisha tofali zimeeka kabla hajaamia.kwa hizo gharama nyumba itakuwa imejegwa Iramba.
 
Jamani hata mie nimejenga lakini hiyo bei mh haiwezekani.ukipiga mahesabu ya materials tu haitosh.labda kama kajenga enz za mwiny
 
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.[/QUOTE


Yaani kweli na wewe unajisifu? nyumba gani hata miti au bustani hujapanda? utadhani ya enzi zileeeeeee
 
Kama umejenga mwaka jana sikubali hata kama umejenga kijijini.
 
Watu wengine bwana Jf wabishi kweli kweli, unajua nyumba hiyo amejenga lini, na vifaa alivipataje? Ulizenu mambo muhimu kwanza, kama alitumia tofali za aina gani gharama yake, cement mifuko mingapi na gharama yake, then bati ametumia ngapi na gharama yake, mawe kiasi gani na gharama ya ufundi wa kujenga na kuezeke, ukijua hivyo then unaweza kubisha, maana huenda nyumba ilijengwa mwaka 2002
 
wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe ki la kitu ni maamuzi tu.

Mkuu acha uongo...hii sio nyumba ya 4.5m! Nyumba ya shambani kwangu sio fancy kama hiyo lakini imecost more!
 
Huku dunian watu wana dharau wengine,Hongereni mafisad mliomkosoa huyu mwingine,mungu awarekebishe mjue kutafuta kwa jasho kama wengine,asikate tamaa na ajenge nyingine
 
Jaman 2ache dharau mwenzenu kajikuna mkono ulupofikia humu ndani ha2lingani vpato msimkufuru Mungu jaman..! Hongera broo me naitaman hata hiyo...!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom