Nimejichokea leo, nipeni mbinu mpya za kupumzika

Siku ya leo imekua ngumu, ina uchovu na makasiriko kama yote.
Shemeji yenu jina lake limekatwa huko so ameenda kujipoza na wajumbe wenzake.

Hebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na mwili, maana usingizi umegoma.

View attachment 3423668
Kwanza kabisa vua nguo zako zote mana nazo zinachosha alafu nipigie video call WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…