Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #121
Huwa wanajitutumua tu humu ila moyoni ukweli wanaujua.Na wanajifanyaga kataa ndoa😄😄
Huwa wanajitutumua tu humu ila moyoni ukweli wanaujua.Na wanajifanyaga kataa ndoa😄😄
nenda dada,ukipumzika njoo uniambieNimeamka na kanguvu kidogo, ngoja niende bahari beach nikapunge upepo na kujiliwaza 😒
Acha tu mamii,mambo yakienda kombo nenda nayoJirani, ukilewa usije kuandika humu 🤣 🤣 🤣
Unaona sasa 😂
Ukute ni nyeusi mno😂Sawa nitaanza kukutag 🤣
Ila hilo jina lako la kwenye ID linamaanisha nini?
Ndy vitu vyanguWanawaza mizabuano tu🤣🤣
Hongera ukumbukege zanaNdy vitu vyangu
Keyboard ya ubongo wako tulishakwapua kitambo sana 😄Njooni tuzogoe; Ushimen , bonjov , The Legacy , waifu material , Mbaga Jr
******
min -me ukiona naanza kuongea vitu havieleweki, nilogie out kwenye all devices 😅
Mfanye kunirudishia sasa 😅Keyboard ya ubongo wako tulishakwapua kitambo sana 😄
Utatype wenge tu kwa muda 🤣🤣
Kuna buttons natoa subirini kwanza 😂Mfanye kunirudishia sasa 😅
Ndiyo, ameshatoa warning mapema 🤣 🤣Ukute ni nyeusi mno😂
Unga juhudi NRNESiku ya leo imekua ngumu, ina uchovu na makasiriko kama yote.
Shemeji yenu jina lake limekatwa huko so ameenda kujipooza 🍺 na wajumbe wenzake.
Hebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na mwili, maana usingizi umegoma.
View attachment 3423668
Sawa ✌️Unga juhudi NRNE
Dubu la mchina ama jipya la Mrusii?tafuta dudu libugie pole pole uta sinzia na mawazo kwishaaa
WaaahNdiyo, ameshatoa warning mapema 🤣 🤣
Kazi kwakeDubu la mchina ama jipya la Mrusii?
Siasa za bongo bana😄😄Siyo chawa ila alijaribu karata yake kwenye siasa 🤣
Wajumbe wamemfunza maana wakati mwingine huwa hamshauriki!