Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Mapenzi na mademuUnavurugwa na nini na nani?
Mapenzi na mademuUnavurugwa na nini na nani?
Waukae Mwanakwetu mimi sijajileta nimekuja kuchangia mada tu kisha napita km upepoUniambie wewe mwanakwetu, mana siyo kwa kujilete leta huku.
Haya shusha mikasa yako, nina muda leo 😅Mapenzi na mademu
Haya ukija pita kwa kutulia na upunguze shobo!Waukae Mwanakwetu mimi sijajileta nimekuja kuchangia mada tu kisha napita km upepo
Sina shobo na wewe mtoto tulia basi usijichetue sana ukabaki bila chupiHaya ukija pita kwa kutulia na upunguze shobo!
Yaan huu mwezi umekuwa mgumu kwangu kila demu ninayemtongoza anadai ana mtu wake na ukimkomalia sana anasema tuwe marafiki tu ukiongeza jitihada anasema atakufikiria na akinikubalia nikimwambia kuja ghetto anasema subiri muda ukifika ataniambiaHaya shusha mikasa yako, nina muda leo 😅
Zingatia "kupunguza shobo" na acha kunitag tag kwenye mambo ya kijinga!Sina shobo na wewe mtoto tulia basi usijichetue sana ukabaki bila chupi
Vua chupi basi uvae kichwani km unaona nakushobokeaZingatia "kupunguza shobo" na acha kunitag tag kwenye mambo ya kijinga!
Pole jamani, labda mwezi August utakua na bahati nao 🤣Yaan huu mwezi umekuwa mgumu kwangu kila demu ninayemtongoza anadai ana mtu wake na ukimkomalia sana anasema tuwe marafiki tu ukiongeza jitihada anasema atakufikiria na akinikubalia nikimwambia kuja ghetto anasema subiri muda ukifika ataniambia
Labda acha nisubiri ila kwa huu mwezi sijaambulia chochote kipya zaidi ya vya zaman tuPole jamani, labda mwezi August utakua na bahati nao 🤣
Biashara matangazo, ushasomeka, subiri wanaopenda kujimixx watakutafuta PMVua chupi basi uvae kichwani km unaona nakushobokea
Duuh, kwahiyo kila mwezi lazima ujilie totoz jipya?Labda acha nisubiri ila kwa huu mwezi sijaambulia chochote kipya zaidi ya vya zaman tu
Nani weweBiashara matangazo, ushasomeka, subiri wanaopenda kujimixx watakuafuta PM
meku umenipunjaHivi bro unaweza fika 60 au magumashi tu
Kawaida tu ila ntaachaDuu, kwahiyo kila mwezi lazima ujilie totoz jipya?
jambo jemaNdiyo nimeolewa mkuu
Ndio ivo, mzee kakatwa Jina hana hamu nayoYani niichezeshe mwenyewe?
Sidhani 😅 pita hapo chini usome majibu ya wanaume wenzako waliogoma kuacha kuonja onja hata baada ya kuoa.Kawaida tu ila ntaacha
Ni masikitiko sana 😔Ndio ivo, mzee kakatwa Jina hana hamu nayo