Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sitaki kabisa mamb ya mtandaon sio ya kujaribu😂 Namalizia kwanza kukaogesha yale maji ya baridi niliyoshauriwa humu 🤣
View attachment 3423766
Sitaki kabisa mamb ya mtandaon sio ya kujaribu😂 Namalizia kwanza kukaogesha yale maji ya baridi niliyoshauriwa humu 🤣
View attachment 3423766
Wewe na hicho kichwa chako kilichokosa nywele una msaada gani kwa taifa?Mtajua wenyewe watu wasionamsaada Kwa taifa
Kiungo mchezeshajiUnacheza position gani?
Tafuta stick za kujichonolea masikioni kwanza kisha nitakwambia kitu, usitafute mchongomaHebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na mwili, maana usingizi umegoma.
I can but I won'tCan you send an eexamples??? In real picture please......kingereza sisi wengine ndio hivyo hivyo tu
NakubariKutoka theresa49 mpaka binti wa zamani
Hivi bro unaweza fika 60 au magumashi tuumeolewa binti yangu
Mbona huna utulivu leo, au na wewe umevurugwa?Kutoka ther****mpaka binti wa zamani
Sina jani hapa home ila ningelipiga nitulie.Reset factory setting
View attachment 3423773
Punguza shobo shoga yangu, mbona leo unanifuata fuata hivyo?Tafuta stick za kujichonolea masikioni kwanza kisha nitakwambia kitu, usitafute mchongoma
Shoga yako tangu lini bibie Theresa49?Punguza shobo shoga yangu, mbona leo unanifuata fuata hivyo?
Haya sitajaribu tena 😃Sitaki kabisa mamb ya mtandaon sio ya kujaribu
Uniambie wewe mwanakwetu, mana siyo kwa kujileta leta huku.Shoga yako tangu lini bibie Theresa49?
Mimi mbona kila siku navurugwa shangaziMbona huna utulivu leo, au na wewe umevurugwa?
Sawa Lucha, tupange mtanange!Kiungo mchezeshaji
Ndiyo nimeolewa mkuuumeolewa binti yangu
Unavurugwa na nini na nani?Mimi mbona kila siku navurugwa shangazi