Nimejichokea leo, nipeni mbinu mpya za kupumzika

Nimejichokea leo, nipeni mbinu mpya za kupumzika

Utakua una mimba sio bure
Vile nimecheka sasa 🤣 🤣

giphy-downsized 5.GIF
 
Siku ya leo imekua ngumu, ina uchovu na makasiriko kama yote.
Shemeji yenu jina lake limekatwa huko so ameenda kujipooza 🍺 na wajumbe wenzake.

Hebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na mwili, maana usingizi umegoma.

View attachment 3423668
simple kama uko kwenye mji kuna beach just nenda huko kale,kanywe na kucheza kwenye maji,na pia tulia kwani hujui nini kinakuja mbele yenu,na shemeji pia jitahidi kumpoza na kumliwaza huku ukimwambia mazuri yaja mbeleleni
 
Nimeamka na kanguvu kidogo, ngoja niende bahari beach nikapunge upepo na kujiliwaza 😒
 
Back
Top Bottom