Nimejifanya sina sehemu ya kulala wala pesa, muhudumu wa basi kanikaribisha kwake

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Nimefika mkoa mmoja hapa kutoka Dar, sasa muhudumu wa basi nimetokea kumuelewa sana maana ni mrembo halafu mzigo mashaallah! Tulivyoshuka stand ya bus mida ya Saa 5 usiku nikajifanya mimi mgeni.

Sina sehemu ya kulala na pesa ya guest sina (japo mfukoni nina laki 1) anisaidie sehemu yoyote nijiegeshe tu, akanijibu, "Twende kwangu nimepanga chumba kimoja Master utalala chini, mimi nitalala kitandani." Nikamwambia sawa haina shida japo kichwani mwangu kumejaa mawazo ya kishetani.

Ndio kaenda kuoga nipo namsubiri atoke tulale.
 
Kweli unahitaji kuombewa.
 
Utaf......rwa leo
 
angalia usipelekwe muhimbili kupimwa shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…