Nimejifanya sina sehemu ya kulala wala pesa, muhudumu wa basi kanikaribisha kwake

Nimejifanya sina sehemu ya kulala wala pesa, muhudumu wa basi kanikaribisha kwake

Nimeinua shingo naona kanga aliyojifunika ishaanza kujiachia naomba Mungu nisimfanye chochote maana kaniamini na kunipa msaada
 
ok,we endelea kuvizia bila wewe kujua unaviziwa hako kakibunda kako ka laki moja,
ukiamka asubuhi unamavi tu na ulisema hauna pa kufikia hata hela yq lodge huna
Sidhani kama naweza PATA usingz naweza amka asubhi nikakuta kibunda hakipo namsikilizia anavyokoroma na inaonekana kachoka sana maana amejitups kitandani hata dk 20 hazijapita usingz umempitia
 
Nimefika mkoa mmoja hapa kutoka Dar sasa muhudumu wa basi nimetokea kumuelewa sana maana ni mrembo halafu mzigo mashaallah!! Tulivyoshuka stand ya bus mida ya Saa 5 usiku nikajifanya mimi mgeni.

Sina sehemu ya kulala na pesa ya guest Sina( japo mfukoni Nina laki 1) anisaidie sehemu yoyote nijiegeshe tu akanijibu "twende kwangu nimepanga chumba kimoja Master utalala chini, mimi nitalala kitandani" nikamwambia sawa haina shida japo kichwani mwangu kumejaa mawazo ya kishetani.

Ndio kaenda kuoga nipo namsubiri atoke tulale.
Una mafuta + zana za kujihami?!
Maana mara nyingi ukiona Ke ana chumba au nyumba ya kupanga ujue kuna mwanaume anayelipa kodi, so hapo ni kwake!
 
Bado sijaelewa mkutane tu ghfla ukalale kwake. How come? Tena utoke Dar?
Mzee kama ni kweli wewe lala. Asubuhi uamke uende kwenye shughuli zako.
 
Bado sijaelewa mkutane tu ghfla ukalale kwake. How come? Tena utoke Dar?
Mzee kama ni kweli wewe lala. Asubuhi uamke uende kwenye shughuli zako.
Amini nakuambia inawezekana kabisa, safar ya masaa karibu 8 kwenye bus mbona inatosha kufaamiana ukizangatia nilikuwa nimekaa Siti ya mbele kwahiyo muda wote wa safar yupo pembeni yangu
 
Amini nakuambia inawezekana kabisa, safar ya masaa karibu 8 kwenye bus mbona inatosha kufaamiana ukizangatia nilikuwa nimekaa Siti ya mbele kwahiyo muda wote wa safar yupo pembeni yangu
Mrejesho tafadhali!
 
Wahudumu Wa Bus Wanekuwa Wapuuzi Kiasi Hicho
 
Nashukuru Mungu sijamgusa japo alionyesha Kila dalili ya kunishawishi nimle ila nimeheshimu msaada alionipa kikubwa tumetoka wote na kupata supu chapati.
Reciprocity bhana..
Mtu amekukirimu na wewe anaachaje kuwa mkarimu kwake?!
Ungemheshimu ungemla aisee😁
 
Back
Top Bottom