Nimejifanya sina sehemu ya kulala wala pesa, muhudumu wa basi kanikaribisha kwake

Unamsubiri yeye ni mkeo😂
 
Huna tofauti na mbakaji, ungetongiza sio kuvizia
 
Nashukuru Mungu sijamgusa japo alionyesha Kila dalili ya kunishawishi nimle ila nimeheshimu msaada alionipa kikubwa tumetoka wote na kupata supu chapati.
Hongera kwa kuushinda ujinga
 
Huna tofauti na mbakaji, ungetongiza sio kuvizia
Kwan nimemfanya nini? Nimeenda kwake nikalala mpaka asubhi tena chini sakafuni yeye kwenye kitanda chake hata kumgusa sijamgusa kwann uniite mbakaji?
 
Habari yako ndugu mtumishi..[emoji119]
[emoji23][emoji23] nzur kabisa chief ujue wengine tumelelewa vyema kuwaheshimu dada zetu kwahiyo tuvitu tudogo kama hivyo havinisumbui japo inahitaji moyo wa chuma
 
Kwan nimemfanya nini? Nimeenda kwake nikalala mpaka asubhi tena chini sakafuni yeye kwenye kitanda chake hata kumgusa sijamgusa kwann uniite mbakaji?
Soma hapo juu nimekupongeza...nilikuwa sijasoma mrejesho
 
Hii hadithi yako ina epsod ngapi niinunue ili niwe nawadanganyia wajukuu zangu!

Naona umri unanikimbia ila stori za uongo sina za kudanganyia wajukuu! 😱
 
....
 
Attachments

  • _20230130_200043_1.JPG
    19.1 KB · Views: 7
Hii hadithi yako ina epsod ngapi niinunue ili niwe nawadanganyia wajukuu zangu!

Naona umri unanikimbia ila stori za uongo sina za kudanganyia wajukuu! 😱
Hujalazimiahwa kuamini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…