Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNa wewe fungua upate hizo likes kama ni dili kwa upande wako.mbona rahisi tu!
Duh yaani x kuja na v8 kununua bidhaa za 30k haina uhalisia....mwehHumu kunatafutwa likes, comments, na attention basi...mtu anajifungulia uzi tu, vitu havina hata uhalisia[emoji1787][emoji1787]
Meona eeh[emoji1787][emoji1787]Duh yaani x kuja na v8 kununua bidhaa za 30k haina uhalisia....mweh
Kati ya watu walioelewa huu uzi..we ni miongon..jamaa anachezewa mchezo tuTANGAZO! TANGAZO!
Tunakodisha vogues, private jets,
Nimeelewa mkuuKati ya watu walioelewa huu uzi..we ni miongon..jamaa anachezewa mchezo tu
Na labda kipindi hicho alimuachaga mdada kwa dharau za pesa zake[emoji3][emoji3]sipati picha siku akimkuta,Naunga mkono hoja kapewa habari na rafiki wa jamaa kwamba fulani Ex wako kafuliaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
You are just coward bro, ni aibu sana Kama mwanaume mwenzangu wewe kuleta story kama hii yani unaonesha hauko matured yani kwasababu ex wako ana V8 ukajibanza yani watu kama ww hamfai hata kua viongoziKwema ndugu zangu?
Jamani haya maisha yaacheni tu yaitwe maisha.
Kuna sehemu nina kabiashara kangu ka kuzugia ili siku ziende hapa mjini.
Sasa kikawaida asubuhi huwa namuacha kijana wangu anasimamia haka kabiashara then jioni kama hivi nikiwa nimetoka kwenye mishe zangu zingine naungana na kijana kusaidiana majukumu ya dukani.
Leo nimerudi zangu toka kwenye mizunguko,wakati nashuka kutoka kwenye bajaji ya kushare ili nielekee dukani kwangu,nikamuona mtu kama ex wangu anatoka kununua bidhaa ofisini kwangu bana, ikabidi nijifiche mahali kwanza nimpimie kama ni yeye au siye,kwa kweli yule dada ni ex wangu kabisa,kilichonisikitisha nimemuona anaingia na ku-drive v8 new model hapo ndipo nilipoona aibu kujitokeza hata kumsalimia coz binafsi sina hata usafiri,kaduka kenyewe mtaji ni milioni moja na ushehe.
So baada ya ex kuondoka nimeenda dukani,nikamuuliza dogo yule dada mnafahamiana,dogo kaniambia hawajuani ila toka mwanzo wa week hii anamuona kawa mteja wetu mzuri anakuja dukani anatuungisha vitu hata vya 30k kwa wakati mmoja.
Sasa wasiwasi wangu ni kwamba,huyu ex siku akinikuta mimi dukani itakuwaje maana for sure kipindi tunaachana nilikuwa vizuri sana kiuchumi,ila sasa ndiyo hivi niko juu ya mawe nimeyumba, nitamuangaliaje siku hiyo wakuu?
Kwa Mwanamke Vita Ya Mashindano Inaanzia Hapa.Nilimuacha kwa nyodo,kuna kipindi nilikua poa kiuchumi.si unajua tena ukishika pesa huku bado kijana mdogo.
Sasa hivi nimefulia
Nini cha ajabu hapo,what if kaja kununua sato wa elfu 30, ni ajabu?V8 new model, bidhaa za 30k, haya bwana
Badilisha location ya duka, kama liko Kinondoni basi lihamishie Manzese. Huko hamuwezi kuonana tena!Kwema ndugu zangu?