Nimejificha baada ya kumuona Ex girlfriend anaendesha V8 new model

Mkuu usipate stress na mafanikio ya mwanamke

Jiamini,kama hukumtesa kipindi mnaachana huna haja ya kujificha, na wala usiwe na wivu, pambana na life lako.

Hongera kwa kua na bizness.
 
Acha kuidhalilisha V8. Uliwahi kusikia au kuona wapi inaendeshwa na ex?
 
TANGAZO! TANGAZO!
Tunakodisha vogues, private jets,
 
Katoa jicho huyo ndo maana ako anadrive iyo v8
 
We wala usimuwazie sanaaa na hilo v eite lake..kwanza magari yanasababisha ajali..jipe moyo tu
 
Hivyo vitu visikukutshe mkuu..madem wana michezo ya ajabu sanaa...kuna dem tulizinguana ile mbaya...juz kat hapa kanitafuta tuonane...ile nmefika kweny tukio kanijia na masimu mengi kama anamiliki hard ware tano mjin hapa huku ndan ya hizo cm kuna iphone ambayo kiuhalisia tu ilinipa picha kwamba ameiazima kwa rafiki zake ili aje anioshee...nlikuwa tu nacheka hadi nae akajishtukia kwamba nnacheka nn ilackumwambia chochote...nlimpima kwa kumwambia kuwa nachukua mdudu kitmoto..mara akaaanza kuzuga zuga kuwa sili...nkamwta mhudumu kaniandalia kilo moja na ndiz nne...cha ajabu ndo alikula hadi kakombeleza...kumbe nae njaa kali tu ila anatka kujipa status ambazo haziwez...usiogope mkuu..hilo gari kaazimishwa wala hana maisha yyte..hapo dukan anajua n kwako na huenda hata hilo gari anakodisha ili aje akuzuzue tu..hana jipya huyo
 
Naunga mkono hoja kapewa habari na rafiki wa jamaa kwamba fulani Ex wako kafuliaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Na labda kipindi hicho alimuachaga mdada kwa dharau za pesa zake[emoji3][emoji3]sipati picha siku akimkuta,

Siku ya kumkuta,mdada awe pamoja na bae wake[emoji23][emoji23]

Mbona mtu atatamani ajigeuze awe baby care ya jero
 
You are just coward bro, ni aibu sana Kama mwanaume mwenzangu wewe kuleta story kama hii yani unaonesha hauko matured yani kwasababu ex wako ana V8 ukajibanza yani watu kama ww hamfai hata kua viongozi
 
Nilimuacha kwa nyodo,kuna kipindi nilikua poa kiuchumi.si unajua tena ukishika pesa huku bado kijana mdogo.
Sasa hivi nimefulia
Kwa Mwanamke Vita Ya Mashindano Inaanzia Hapa.

Mkuu Fanya Mambo Yako Maana Ndio Uhalisia Hakuna Kitakachobadilika.
 
Badilisha location ya duka, kama liko Kinondoni basi lihamishie Manzese. Huko hamuwezi kuonana tena!
 
Ni ujinga kuanza kushindana na ex kwa kumuonyeshea vitu nk,, utoto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…