kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe.
View: https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
View: https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe.
View: https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib

Kinachowakwaakianza kuhojiwa heche itakau ni kichekesho zaidi![]()
Shida zao ni kuongea mitaani kama laymen bila kuwa na ushahidi, kujichukulia sheria mkononi kuhukumu wenyewe, kutokuangalia Katiba wakati wa kusema na kutenda. Mfano, uchaguzi ni takwa la kikatiba, kuuzuia ni kuvunja Katiba. RAIS ni amirijeshi mkuu majeshi yote yote yanayopaswa kulinda raia na mali zao. Hivyo kùsitisha uchaguzi ni shambulizi kwa wanaolinda amani na utulivu, hivyo umemtishia Raisvakianza kuhojiwa heche itakau ni kichekesho zaidi![]()