Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Utangulizi:
Kwa Minajili ya Usiri/ confidentiality sitamtaja moja kwa moja mzee huyu aliyeishi Mkoa mmoja wa Kaskazini.
Alifariki akiwa na miaka 104
Alikuwa na wake watano, waazuri wenye shape
Alikuwa na Watoto 70, kila mke alizaa si chini ya watoto 10, minimum 12.
WAjukuu takriban 300.
Aliishi hapa hapa Tanzanzia, miaka 10 iliyopita.
Mafanikio ya mzee Silayo
1. Mfugaji wa ng'ombe zaidi ya 50
2. Aliunganisha watoto wake wote mpaka leo wanaelewana na ni ndugu wa kufa na kupona. Hawajaachana
3. Alihama kutoka mjini akaenda pembezoni mwa mji akajikisanyia Ardhinya kutosha.
4.Huko alijenga ng'ome yake na wake zake wanne. Mmoja alimwacha mjini.
5. Kila jmosi ya kila wiki mzee alikuwa anafanya matambiko, alichinja nyama na wajukuu wake woote lazima wakusanyike kula nyama hiyo kwa pamoja.
6. Alisomesha watoto wake, kuna madaktari, Walimu, Madiwani na maafisa mbali mbali.
7. Kwa mzee Sirayo hakujawahi kuwa na njaa, chakula cha kila aina kilikuwepo.
8. Nyumbani kwake na mashamba yake alikuwa na mapera, mapapai, machungwa, miwa, mapasion, Nkeri, n.k.
9. Mzee Hakuwa Fala wake zake woote walikuwa wanaelewana na watoto wao pia hadi leo.
10. Mzee Silayo alifariki na kuwaacha wake zake wote hadi leo.